voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Suala hapa ni kwamba Mvua zimeendelea kunyesha kwa kiwango kilichopitiliza kote nchini.Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Na watanzania wote ni mashuhuda wa hilo.
Chadema wao ni wa kusamehe bure maana kwa ujumla ni kwamba hawajui wanataka nini na wanakataa nini?
Pale wamejaa walora wa kisiasa tupu