kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Nakubaliana na wewe,hata Ummy Mwalimu aliongea kwa tahadhari kubwa bila kumtaja,na hakwenda mbali sana kumnanga Makonda.Anajua kilichowapata kina Nape et alukweli unaweza kusemwa kwa maneno mafupi " Makonda ameiweka mfukoni serikali ya Tanzania" hakuna anayefurukuta, na ana uwezo wa kumfokea kiongozi yeyote hapa Tanzania, akiwemo na aliyemchagua
Tatizo sio UMBWA tatizo ni mwenye aliyemfuga
Tatizo siyo makonda tatizo ni mbowe na genge la wahuni wa vidole viwili
Vyovyote itakavyokuwa sioni shida mmWaziri kesha toa karipio Kali kwa Makonda,
In God we Trust
Mbona unakuwa na hasira sana na mbowe wewe Elitwege?Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?
Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?
Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wako hapaswi kutajwa!Hujamsikia Waziri wa afya alichokisema?
Hujamsikia waziri wa afya akitoa karipio?Kwa maoni yako haya inabidi na wagonjwa wa ukimwi watangazwe hadharani ili kulinda wananchi wengine wasiambukizwe,si ndivyo?Hivi ni lazima kutetea ujinga wowote kisa umefanywa na upande unaouunga mkono?Waziri na RC hapa wametofautiana,maadili ya kitabibu ndiyo hoja aliyosimamia waziri!Kama una corona halafu upo kitaa kwa nini usitajwe ili wengine wajihadhari nawe... Makonda analinda mkoa wake,sioni shida yoyote hapo.
Corona inaambukizwaje na ukimwi unaambukizwa vipi? Kwa nini alikuwa bado uraiani ilhali anajua ana mdudu tayari?Hujamsikia waziri wa afya akitoa karipio?Kwa maoni yako haya inabidi na wagonjwa wa ukimwi watangazwe hadharani ili kulinda wananchi wengine wasiambukizwe,si ndivyo?Hivi ni lazima kutetea ujinga wowote kisa umefanywa na upande unaouunga mkono?Waziri na RC hapa wametofautiana,maadili ya kitabibu ndiyo hoja aliyosimamia waziri!
Anachokifanya Makonda kikiendelezwa maana yake ni kuzua taharuki!Imagine sasa wawe wanatangazwa kila mkoa wagonjwa wa Corona ni hawa!Hata wakipona na kutest negative,tukiwaona mtaani si tutaanza kukanyagana kuwakimbia?Hapa si tunakuwa tumetengeneza taharuki?
Utaratibu uliopo ni wa kuwaweka chini ya uangalizi ili wasiambukize wengine mpaka watakapopona!Nadhani hiyo inatosha!
Punguza mahaba na huyo Makonda,kakosea na waziri wa afya kalitambua hilo!Ukiachana na wale waliojitangaza wenyewe,ni nani mwingine aliyetangazwa?Kwanini hapo tusione ni chuki binafsi zinazofanywa na Makonda?Kama ni kwa nia njema,angetangaza watu wote wenye Corona mkoani kwake!Sasa ulitaka asiwekwe wazi aambukize wengine... Sio nyie mnaosema serikali inaficha takwimu iweke wazi
Kwa nini hakujiweka karantini alipogundua ana corona?Punguza mahaba na huyo Makonda,kakosea na waziri wa afya kalitambua hilo!Ukiachana na wale waliojitangaza wenyewe,ni nani mwingine aliyetangazwa?Kwanini hapo tusione ni chuki binafsi zinazofanywa na Makonda?Kama ni kwa nia njema,angetangaza watu wote wenye Corona mkoani kwake!
Ukada unakupofusha!
NB:Ummy Mwalimu awe makini na Makonda asijeishiwa kutumbuliwa!
Una uhakika gani alikuwa uraiani alipotest positive?Hukusikia maelezo ya Mbowe kuwa mara baada ya mtoto wao kutest positive wote wako karantini kwa siku 14?Corona inaambukizwaje na ukimwi unaambukizwa vipi? Kwa nini alikuwa bado uraiani ilhali anajua ana mdudu tayari?
Umejuaje hayo hakuwa karantini?Nimeuliza,kwanini Makonda hakutangaza wagonjwa wengine mkoani kwake?Maana nimeona unamtetea kuwa anaulinda mkoa wake dhidi ya Corona kwa kutangaza wenye corona ili watu wajitenge nao!Kwa nini hakujiweka karantini alipogundua ana corona?
Kama hawajuiUmejuaje hayo hakuwa karantini?Nimeuliza,kwanini Makonda hakutangaza wagonjwa wengine mkoani kwake?Maana nimeona unamtetea kuwa anaulinda mkoa wake dhidi ya Corona kwa kutangaza wenye corona ili watu wajitenge nao!
Mbowe alitangaza baada ya makonda kutangaza uwongoUna uhakika gani alikuwa uraiani alipotest positive?Hukusikia maelezo ya Mbowe kuwa mara baada ya mtoto wao kutest positive wote wako karantini kwa siku 14?
Halafu serikali ndiyo ilimpima,sasa unadhani hawakuweka utaratibu baada ya majibu kutoka positive na badala yake wamwache mtaani?
Unamsema yule Mbunge wenu anayeitwa Msukuma?mbona walomnanga mheshimiwa kwamba jogoo hawiki na hata akiwika hatoi sauti ya kumwamsha alolala, na wazungu wakitoka hawana uwezo wa kufika ikulu kukamilisha uumbaji..wazungu wanafia njiani...mbona nao hawajakemewa?
Kwamba ndio walioleta CORONA au ndo walisema mwenye mamlaka ya kutoa update za COVID 19 ni Waziri Mkuu au waziri wa afya?Tatizo siyo makonda tatizo ni mbowe na genge la wahuni wa vidole viwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo shida ni Mbowe kutangaza?Aliyewaroga kwakweli kafa!Mbowe alitangaza baada ya makonda kutangaza uwongo