Ndugu wana jamvi habarini za muda huu,
Kwa kuzingatia zana ya utawala bora na democracy kila mtu anatakiwa aheshimu sheria na taratibu za nchi.
Ikiwemo za kiutaalamu kama vile za mataabibu kutunza siri za wagonjwa na Sheria ni msumeno hukata huku na huku haijalishi ni nan kakosea ana title gani au ana utajiri gani lazima achukuliwe hatua ndio maana ataukijaribu kujinyonga ukashindwa utashitakiwa
Je kitendo cha mtukufu
makonda kumtaja mtoto wa mbowe kuwa ni mwathirika wa corona sio uchochezi?
Je, ni halali kwa Makonda kuchukua usemaji wa family ya Mbowe? Ikiwa makonda amekosea yupo wapi DPP Biswalo na mikwara yake kwa Lema juu ya kesi za uchochezi kule singida?
Je, makosa ya uchochezi ni kwaajili ya viongozi wa upinzani tu?
Asanten naomba kuwasilisha.