Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

kibaya zaidi,baadhi ya viongozi wa dini wanaonekana kutumika kutetea waovu hawa!!!
Hatuwashangai shetani kajichimbia huko,hata alipokuwa anadodoswa kuhusu uhalali wa vyeti vyake, viongozi wa dini walifanya hivyohivyo.
 
Bashite na jiwe ndiyo tatizo kubwa Tanzania hilo swala watu hawalioni, bashite ana roho mbaya sijawahi ona ila anacopy kwa jiwe, jiwe kajaa chuki akikuchukia anataka asombe ukoo wako mzima atupe jela au awkuitie watu wasiojulikana wakumalize kabisa. Hawezi mfuta bashite simply because anafanya anachokipenda. Hakuna kiongozi wabaya kuwahi kutokea tz kama jiwe na bashite. Wapiga dili tu dollar zinapaishwa nje
 
kibaya zaidi,baadhi ya viongozi wa dini wanaonekana kutumika kutetea waovu hawa!!!
Nakumbuka kiongozi mmoja mkuu wa dini cadinali Pengo aliwahi kumsifia kuwa kati ya watu wanaofaa kurithi kiti cha juu hapa bongo. Katika hali kama hii ya baadhi ya viongozi wetu wa kiroho kuwasujudia wenye mamlaka, unahitaji roho ngumu kwenda kwenye nyumba ya ibada kumsikiliza.
 
Hata mimi nashukuru. Ingelikuwa ni mtoto wa Makonda ndio kaugua, tusingelikaa humu kwa kejeli. Kwakuwa limempata Mbowe na kasema Makonda ndio kelel! Wacha augue, Ila namuombea apone!
 
Bashite tunasumbuka naye tu na anatuumiza vichwa bure jamaa hakupata malezi ya wazazi na anaoneka ana matatizo ya kisaikolojia tuachane naye tu jamaa tatizo malezi mabovu.
Kama ulivyosema ndivyo Ile kamati ya kumfanyia mtu vetting kabla ya kuwa appointed haiangalii upande wa malezi na kuchunguza akili za wanaowapendekeza?
Na kama walipitiwa, hawana reverse?
Na je, mteule wake hajishughulishi na anaowateua kujua wanafanyaje kazi? Na je, wizara inayohusika na wakuu wa mikoa na wilaya nayo Haina meno ya kumng'ata anayepotoka?
Na huko ccm hakuna wa kumkemea mkuu wa mkoa au wilaya?
Kama organs zote zinazohusika zimepigwa ganzi Basi, ipo siku yule marehemu shujaa Mwamwindi atafufuka na kusaidia kufanya hii kazi!
 
Wewe bado kijana unaanza kuwanga, subiri ukizeeka lazima uwe mchawi mwandamizi

In God we Trust
 
Upo sahihi kabisa

In God we Trust
 
Back
Top Bottom