Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kukosa vyote pamoja Elimu na Akili .......
Yule nadhan ndio aibu kubwa xaid kwa waliokuwa wanamlea .na aibu kwa media waliokuwa wanampa platiform yule mwehu ni kaliba ya kina tito yuleKila nikimuona Makonda namuona pia Musiba ndani yake, watu wa ovyo ovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwashangai shetani kajichimbia huko,hata alipokuwa anadodoswa kuhusu uhalali wa vyeti vyake, viongozi wa dini walifanya hivyohivyo.kibaya zaidi,baadhi ya viongozi wa dini wanaonekana kutumika kutetea waovu hawa!!!
Nakumbuka kiongozi mmoja mkuu wa dini cadinali Pengo aliwahi kumsifia kuwa kati ya watu wanaofaa kurithi kiti cha juu hapa bongo. Katika hali kama hii ya baadhi ya viongozi wetu wa kiroho kuwasujudia wenye mamlaka, unahitaji roho ngumu kwenda kwenye nyumba ya ibada kumsikiliza.kibaya zaidi,baadhi ya viongozi wa dini wanaonekana kutumika kutetea waovu hawa!!!
tatizo hapa kuna watu wamekosa vyote; akili na elimu
Nimecheka kidogo nikate kauli, katumwa na Nani?
Kweli kabisa na huwa najiuliza kama huyu mtu huwa anayafanyia evaluation maneno yake mara baada ya kuyatoa mbele ya jamii.
In God we Trust
Kama ulivyosema ndivyo Ile kamati ya kumfanyia mtu vetting kabla ya kuwa appointed haiangalii upande wa malezi na kuchunguza akili za wanaowapendekeza?Bashite tunasumbuka naye tu na anatuumiza vichwa bure jamaa hakupata malezi ya wazazi na anaoneka ana matatizo ya kisaikolojia tuachane naye tu jamaa tatizo malezi mabovu.