Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?

Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?

Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?

Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?

Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Namashaka ubongo wako una corona tayari sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi huwa najiiliza maswali mengi sana Na miongoni ya maswali hayo.

1.Hivi Watu wanapokuwa Kwenye nyumba za kuabudu (Makanisani Na misikitini) huwa wanakwenda Kwa ajili ya kujionesha ama wanamaanisha?

Kwa nini najiuliza

Leo asubuhi nimeamka na kukutana na Vidio ya Kiongozi tena wa Serikali ambaye mara kwa mara huwa namuona anakaribishwa mpaka kwenye madhabahu ya kanisa na kupewa nafasi ya kuhubiri ,leo anaamka na kuandaa mkusanyiko halafu anaanza kumkebehi Mzazi wa mtu kuwa anashukuru sana huyo mtu mwanae kupatwa Ugonjwa wa Corona.Hivi kweli dini zinatufundisha kuombeana watu mabaya?kufurahi wengine wanapopata shida na kuteseka ?

2.Swali la pili,huwa najiuliza hivi Shuleni na Vyuoni yanayofundishwa ndiyo yanayofanyika huku nje?maana nakumbuka nilipokuwa Chuo Kikuu,nilisoma kidogo Kwa muhula mmoja somo ya Uongozi.

Nilifundishwa kuwa unapochaguliwa kuwa Kiongozi basi fahamu miongoni mwa Kazi zako ni Kuwa Mfariji Mkuu.

Sasa leo nimeamka asubuhi na kukutana na vidio ya Kiongozi mkuu wa ngazi ya Mkoa,anatangaza kwa kukebehi huku akifurahia moja ya wananchi ndani ya Mkoa wake kukutwa Na maambukizi ya Virusi vya Corona,kisa Baba wa huyo mtoto wanatofautiana Vyama vya Siasa.

Najiuliza Prof aliyenifundisha kuwa unapokuwa Kiongozi wewe ni mfariji mkuu,alikuwa ananiongopea?mbona baadhi ya Viongozi(Kama alivyofanya mkuu wa mkoa) ameshindwa kusimama Kwenye nafasi ya Mfariji mkuu na badala yake kaamua kuianza siku Kwa kwenda Kwenye mikusanyiko na kumtangaza mwanafamilia wa ndani ya Mkoa kuwa anaugonjwa wa Corona huku alienda mbali zaidi Kwa kusema anamshukuru Mungu familia hiyo kupatwa na janga la Corona?

Mungu Ibariki Tanzania

In God we Trust

Tatizo huyu bwana anataka kulazimisha watu wamuone kama ni mtu msomi sana na pia ni mwenye hekima kumbe ni mnafiki wa kutupwa..anafurahia matatizo ya watu na kumshukuru Mungu kuwa watu wamepatwa na tatizo!!! huyu lazima atakuwa na tabia za kichawi chawi sana ndio maana maombi yake ni kuona asiyempenda akipata matatizo.
 
Tangu lini ikajielewa hii misukule? kile alichokitangaza Mbowe sikuile kwanza ilikuwa ni JINAI na hakuna kati yao waandishi hawa wapu.mbavu alikemea kauli ile ya kuchochea uvunjifu wa amani.
Hivi kwa nini ufipa boys hamnaga akili kabisa?

Maana yake asingeumwa mtoto wa mbowe mikutano ingekuwa pale pale?

Tumeshajua dawa yake siku nyingine akiitisha maandamano tunatanguliza watoto wake ,hasa wale wa Joyce Mkuya na bila shaka atayasitisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nilisha wachaga kwenda kwenye nyumba za ibada kabisa

In God we Trust

I second you mkuu, kwa ufupi ukitaka kuwa ‘bondage’ basi nenda huko, your birth right kama mtu huru na mwenye mawazo huru yanakufa na kuanza kupangiwa namna eti ya kuishi na mbaya mengi yao japokuwa kuna mazuri machache kijamii ( siyo kiroho) ni unafiki

Nafikiri watu wanatakiwa kumuacha ‘Mungu aongee na sisi’ kwa maana ya ‘spirituality’ na sio sisi kuongea na Mungu kwa maana ya Dini zetu hizi
 
Back
Top Bottom