Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.

Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
 
Mara nyingi watu wenye dharau maisha yao huishia kuwa magumu sana... endeleza tu dharau
 
Tusijif

Tusijifariji na umasikini mkuu ,tuuze Mali tununue ndinga Kali sio kutembelea viberiti ,ndiyo maana Mimi dharau zilipozidi nikaipimpu Corolla yangu hivyo ni ndefu na imeenda juu ,wakuja wakiuliza ni aina gani ya gari sionagi aibu kuwambia ni gari tolea jipya la mmarekani
 
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.

Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Bora kuweka bottoms zangu kwenye hicho anachokiita choo ukijua ni cha halali kuliko kuweka vikalio vyake kwenye hayo anayoyaita magari ya thamani lakini akijua kuwa hajayapata kwa halali au damu imemwagika ili kupata
Huo ni UTACKLE sasa..
 
Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Mwambie hivi tunasubiri aumwe kumbavu zake aumwe ndio tutajua simu hio au ufuluensa ndio utampa matibabu au atatembeza bakuri nyambufu
 
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Bora kuweka bottoms zangu kwenye hicho anachokiita choo ukijua ni cha halali kuliko kuweka vikalio vyake kwenye hayo anayoyaita magari ya thamani lakini akijua kuwa hajayapata kwa halali au damu imemwagika ili kupata
Huo ni UTACKLE sasa..
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Kwa Maisha ya kitanzania hayuko sahihi, kwa maisha ya kazi yake (udalali wa magari)yuko sahihi

Back
Top Bottom