GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.