GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mara nyingi watu wenye dharau maisha yao huishia kuwa magumu sana... endeleza tu dharau"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Mkuu unamiliki IST nini na Wewe?Hawa Bongo movie wanajigamba na Range za mkopo wakiumwa kidogo tu wanatembeza bakuli....
Tusijifariji na umasikini mkuu ,tuuze Mali tununue ndinga Kali sio kutembelea viberiti ,ndiyo maana Mimi dharau zilipozidi nikaipimpu Corolla yangu hivyo ni ndefu na imeenda juu ,wakuja wakiuliza ni aina gani ya gari sionagi aibu kuwambia ni gari tolea jipya la mmarekaniMara nyingi watu wenye dharau maisha yao huishia kuwa magumu sana... endeleza tu dharau
Bora kuweka bottoms zangu kwenye hicho anachokiita choo ukijua ni cha halali kuliko kuweka vikalio vyake kwenye hayo anayoyaita magari ya thamani lakini akijua kuwa hajayapata kwa halali au damu imemwagika ili kupata"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Dharau zangu nimetoa wapi? Nimefanya Kosa kuwa Mjumbe na kukileta hapa hiki ambacho amekisema Dotto Magari?Mara nyingi watu wenye dharau maisha yao huishia kuwa magumu sana... endeleza tu dharau
Mwambie hivi tunasubiri aumwe kumbavu zake aumwe ndio tutajua simu hio au ufuluensa ndio utampa matibabu au atatembeza bakuri nyambufuHalafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Au sioTusijif
Tusijifariji na umasikini mkuu ,tuuze Mali tununue ndinga Kali sio kutembelea viberiti ,ndiyo maana Mimi dharau zilipozidi nikaipimpu Corolla yangu hivyo ni ndefu na imeenda juu ,wakuja wakiuliza ni aina gani ya gari sionagi aibu kuwambia ni gari tolea jipya la mmarekani
Naona wenye IST sasa mmeibuka mlikojichimbia na mmekuja kwa Hasira Kali. Mwanaume aliye Kamili hamiliki IST sawa?Huyu ana akili ya Makonda aliyewahi kusema ist ni gari za kuhonga michepuko.
Maana yake wanaoendesha ist mitaani ni Michepuko ya watu?!
Bahati mbaya siwezi kuafford maana inauzwa ghali kuliko xtrail second hand hapa Bongo...Mkuu unamiliki IST nini na Wewe?
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Mwambie hivi tunasubiri aumwe kumbavu zake aumwe ndio tutajua simu hio au ufuluensa ndio utampa matibabu au atatembeza bakuri nyambufu
Kwahiyo unamiliki Xtrail?Bahati mbaya siwezi kuafford maana inauzwa ghali kuliko xtrail second hand hapa Bongo...
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Bora kuweka bottoms zangu kwenye hicho anachokiita choo ukijua ni cha halali kuliko kuweka vikalio vyake kwenye hayo anayoyaita magari ya thamani lakini akijua kuwa hajayapata kwa halali au damu imemwagika ili kupata
Huo ni UTACKLE sasa..
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Kwa Maisha ya kitanzania hayuko sahihi, kwa maisha ya kazi yake (udalali wa magari)yuko sahihi
Kwani alisema uongo?? 🤣Huyu ana akili ya Makonda aliyewahi kusema ist ni gari za kuhonga michepuko.
Maana yake wanaoendesha ist mitaani ni Michepuko ya watu?!