Kila mtu ana malengo yake na mtazamo wake ...Mtazamo wa Dotto Magari hauwezi kuwa sawa na watu million
Na inaonekana wako wengi sana hapa JamiiForums Mkuu. Nimefurahi mno Dotto Magari alivyowachana.
Mimi nina IST na hadhi niliyonayo huyu dotto hawezi kunifikia.Jamii yetu imekumbwa na virus ya kusifia sana watu ambao siyo na vitu ambavyo havina uhalisia.