Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Kila mtu ana malengo yake na mtazamo wake ...Mtazamo wa Dotto Magari hauwezi kuwa sawa na watu million
Na inaonekana wako wengi sana hapa JamiiForums Mkuu. Nimefurahi mno Dotto Magari alivyowachana.
Mimi nina IST na hadhi niliyonayo huyu dotto hawezi kunifikia.Jamii yetu imekumbwa na virus ya kusifia sana watu ambao siyo na vitu ambavyo havina uhalisia.
 
Nikiwa ndani ya IST naona nimemaliza... sitaki gari za spana mkononi.. garage kila mwezi.. 😁
 
Unaedis IST ukute hata mzazi wako hana na mpaka anakufa hataimiliki hata starlet achilia mbali wazazi wako wewe unaedis IST ukute hata wewe huna hiyo gar ..Key board ya simu yako inakudanganya kufata mkumbo.. hawa ndo wanaotoa t*go wamiliki range za mchongo kwa show off...kama hutembelei ma*taqo kaa kimya huijui hata sheli kutwa kubwabwaja IST IST
 
Back
Top Bottom