Dotto magari tuna kufahamu watoto wa kinondoni, Punguza kamdomo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.

Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.

Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.

Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.

Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.

Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
 
Umekunywa chai? Achana na Maisha ya watu boss kama unaupenda Simba shabikia Simba. Kama unaupenda Yanga shabikia Yanga. Usiwapangie watu Cha kufanya. Uhuru upo. Nawe Fanya afanyavyo yeye ila kwa chama lako la Simba!
 
Mimi simtetei huyo dotto magari na wala simjui,lakini nakuuliza unaposema kila mwananchi hamtaki huyo usiyemtaja japo umesema kuwa labda alindwe na jwtz,swali langu kwako ni hili,hao kila mwananchi ulikutana nao wapi wakakwambia hicho ulichosema?
 
ila hii
Dotto Magari ni nani? Kafanya nini?

Huku Sirari huyo jamaa hatujawahi kumsikia kabisa!

Na kwa nini unataka kumpangia cha kuongea? Anavunja sheria kwa anayoyasema?

Kama yanakuumiza kayafanyie kazi!
Naona umekuja na ID nyingine mkishirikiana HAYA LAND HOV.Hizi ofisi za abdul ccm
 
Achana na ad hominem innuendos. Jibu hoja. Huyo Dotto Magari ni nani? Kosa lake hasa ni nini? Kwa nini unataka kumpangia cha kuongea? Anavunja sheria kwa anayoyasema? Sheria zinasemaje?

Mnapigania demokrasia lakini hata hamuijui misingi yake. Demokrasia ni msumeno unaokereza kote kote; na inakutaka uvumilie hata ambayo huyapendi kama hayavunji sheria. Ndiyo maana hata machawa wa humu akina Lukasi na Tlahtlah wana uhuru wa kusema wanachokitaka. Ulishaona wakipigwa ban kwa sababu eti ni machawa?

Tukianza kupangiana huyu aseme hiki ndo asinikere hatutakuwa na jamii. Huyo Dotto magari kama anapiga kwenye mshono mpaka kukupanikisha hivi basi itabidi uvumilie tu. Kama anavunja sheria nenda polisi mkuu.

Wafanya masikhara na demokrasia eeeh!? 😂😂😂
 
Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.

Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.

Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.

Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.

Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.

Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
Si uende ukaharibu tukuone?? Unasubiri nini? Na ni watu gani unasema wanaweza wakaenda kuharibu biashara ya Dotto Magari??

Nyie watu mabwege sana, umaskini wenu ndiyo unafanya muwachukie walio hussle na kufanikiwa?? Kwa hiyo hata yale maandamano ni zuga tu ila lengo lenu ni kuiba na kuharibu, halafu mnajiita Gen Z.

Kwa akili hizi nampongeza aliyeamuru shoot to kill kwa mapimbi kama wewe
 
chawa mnashida sana
 
Umekunywa chai? Achana na Maisha ya watu boss kama unaupenda Simba shabikia Simba. Kama unaupenda Yanga shabikia Yanga. Usiwapangie watu Cha kufanya. Uhuru upo. Nawe Fanya afanyavyo yeye ila kwa chama lako la Simba!
Mkaribishe chai kwako.
 
Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.

Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.

Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.

Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.

Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.

Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
Miaka ya nyuma wakti teja alitaka kukwapua side mirror ya wana fulani pale manyanya aise wale jamaa walimrudia walimkosa na shaba ya mguu ana bahati ilimkosa!
Anyway jamaa kichwa chake resi
Uchawa alianzia kwa matajiri wezi enzi hizo akishnda pale full stop bar nyuma ya mwanamboka
Naona sahv domodomo lake limempaisha zaidi

Ova
 
Wewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?

Kubali tu amekuacha kimaisha, sana sana omba akuonyeshe fursa nawe utoke
 
Si uende ukaharibu tukuone?? Unasubiri nini? Na ni watu gani unasema wanaweza wakaenda kuharibu biashara ya Dotto Magari??

Nyie watu mabwege sana, umaskini wenu ndiyo unafanya muwachukie walio hussle na kufanikiwa?? Kwa hiyo hata yale maandamano ni zuga tu ila lengo lenu ni kuiba na kuharibu, halafu mnajiita Gen Z.

Kwa akili hizi nampongeza aliyeamuru shoot to kill kwa mapimbi kama wewe
Chawa Pro max mwisho wenu unakaribia
 
Wewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?

Kubali tu amekuacha kimaisha, sana sana omba akuonyeshe fursa nawe utoke
Alikuwa amekuja Kukununua ulipokuwa unajiuza maeneo yale
 
Wewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?

Kubali tu amekuacha kimaisha, sana sana omba akuonyeshe fursa nawe utoke
Fursa za uchawa na kupiga kelele kama mendawazimu ni upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom