Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Wewe dada poa jiheshimu hili siyo jukwaa la malayaAlikuwa amekuja Kukununua ulipokuwa unajiuza maeneo yale
Wewe dada poa jiheshimu hili siyo jukwaa la malayaAlikuwa amekuja Kukununua ulipokuwa unajiuza maeneo yale
Exactly.Sio comedian, ni clown au buffoon zaidi.
Ashawahi kuwa mpiga debe wangu...mpk kesho akinuona ananiamkia shikamoo ......Wewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?
Kubali tu amekuacha kimaisha, sana sana omba akuonyeshe fursa nawe utoke
Kitambo alikuwa anaishi kwa style hiyo kuwadanandia wale wenye hela sema kipaji alikiupgrade si unajuwa wabongo wanapenda lopolopoDotto Magari usimchukulie serious ,mimi namuona kama comedian tu lopolopo tantalila nyingi.
Tatizo kamdomo!Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.
Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.
Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
Kabla ya kwenda kuharibu aga kwenu na uache wosia kabisa kwasababu hutarudi ukiwa unapumua.Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Hawa jamaa ni madikteta wa hatari. Bahati nzuri hawawezi kumwondoa mtu hapa JF vinginevyo wanaCCM tungekula ban za maisha na kuondolewa kwenye hii platform.Achana na ad hominem innuendos. Jibu hoja. Huyo Dotto Magari ni nani? Kosa lake hasa ni nini? Kwa nini unataka kumpangia cha kuongea? Anavunja sheria kwa anayoyasema? Sheria zinasemaje?
Mnapigania demokrasia lakini hata hamuijui misingi yake. Demokrasia ni msumeno unaokereza kote kote; na inakutaka uvumilie hata ambayo huyapendi kama hayavunji sheria. Ndiyo maana hata machawa wa humu akina Lukasi na Tlahtlah wana uhuru wa kusema wanachokitaka. Ulishaona wakipigwa ban kwa sababu eti ni machawa?
Tukianza kupangiana huyu aseme hiki ndo asinikere hatutakuwa na jamii. Huyo Dotto magari kama anapiga kwenye mshono mpaka kukupanikisha hivi basi itabidi uvumilie tu. Kama anavunja sheria nenda polisi mkuu.
Wafanya masikhara na demokrasia eeeh!? 😂😂😂
Wewe mporipori hujawahi kuishi Kino, enzi ya kina DottoKama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.
Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.
Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
Mshamba huyu wala hata hamjui Dotto, wakuja hawa wanalopokalopoka tuMiaka ya nyuma wakti teja alitaka kukwapua side mirror ya wana fulani pale manyanya aise wale jamaa walimrudia walimkosa na shaba ya mguu ana bahati ilimkosa!
Anyway jamaa kichwa chake resi
Uchawa alianzia kwa matajiri wezi enzi hizo akishnda pale full stop bar nyuma ya mwanamboka
Naona sahv domodomo lake limempaisha zaidi
Ova
Nasema acha kujiuza bei chee maana utaliwa hadi na walevi wa chang'aa.Wewe dada poa jiheshimu hili siyo jukwaa la malaya
Hao madogo wameuvamia mji juzi sifikirii Kama anaielewa kinoMshamba huyu wala hata hamjui Dotto, wakuja hawa wanalopokalopoka tu
Na unachokifanya mwingine anaweza kuona ni upuuzi kama wasomi mnavyo kejeliwa na maisha yenu magumu. Mnataka mseleleko, kitonga mmekariri madesa hayana faida kwenu sababu hamuwezi yabadili kuwa hela ila mnaweza kubadili kuwa malalamiko na wivu, chuki, choyo na roho mbaya mwisho ni kufa kwa stressFursa za uchawa na kupiga kelele kama mendawazimu ni upuuzi mtupu
Kuna mserereko au kitonga gani zaidi ya kuishi kwa uchawa kwa watawala na matajiri, Ni upuuzi kutaka msomi akalipwe kwa kujirekodi akipiga makelele mitandaoni akitangaza biashara ya kitimoto, ubwabwa wa shilole au akijikomba kwa watawala vilaza wa CCM.Na unachokifanya mwingine anaweza kuona ni upuuzi kama wasomi mnavyo kejeliwa na maisha yenu magumu. Mnataka mseleleko, kitonga mmekariri madesa hayana faida kwenu sababu hamuwezi yabadili kuwa hela ila mnaweza kubadili kuwa malalamiko na wivu, chuki, choyo na roho mbaya mwisho ni kufa kwa stress
Ulikuwa dreva wa Coaster umeajiriwa tu, huna uwezo wa kumiliki gari qeweAshawahi kuwa mpiga debe wangu...mpk kesho akinuona ananiamkia shikamoo ......
Kuwa na adabu alafu wenzako kunondoni mpk kesho tumeacha alama wkt huo vijana tunamiliki coaster route ya posta
Huyo dotto wenu hata anione wapi utasikia shikamoo baharia
Ngoja niishie hapa,anyway namsifu kwa kuachana na matumizi ya madawa
Ova
Nasema acha kujiuza bei chee maana utaliwa hadi na walevi wa chang'aaNasema acha kujiuza bei chee maana utaliwa hadi na walevi wa chang'aa.
Haya yaishe mkuu.Nasema acha kujiuza bei chee maana utaliwa hadi na walevi wa chang'aa