Mimi simtetei huyo dotto magari na wala simjui,lakini nakuuliza unaposema kila mwananchi hamtaki huyo usiyemtaja japo umesema kuwa labda alindwe na jwtz,swali langu kwako ni hili,hao kila mwananchi ulikutana nao wapi wakakwambia hicho ulichosema?Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.
Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.
Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
Naona umekuja na ID nyingine mkishirikiana HAYA LAND HOV.Hizi ofisi za abdul ccmDotto Magari ni nani? Kafanya nini?
Huku Sirari huyo jamaa hatujawahi kumsikia kabisa!
Na kwa nini unataka kumpangia cha kuongea? Anavunja sheria kwa anayoyasema?
Kama yanakuumiza kayafanyie kazi!
Achana na ad hominem innuendos. Jibu hoja. Huyo Dotto Magari ni nani? Kosa lake hasa ni nini? Kwa nini unataka kumpangia cha kuongea? Anavunja sheria kwa anayoyasema? Sheria zinasemaje?ila hii
Naona umekuja na ID nyingine mkishirikiana HAYA LAND HOV.Hizi ofisi za abdul ccm
ila hii

Si uende ukaharibu tukuone?? Unasubiri nini? Na ni watu gani unasema wanaweza wakaenda kuharibu biashara ya Dotto Magari??Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.
Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.
Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
chawa mnashida sanaSi uende ukaharibu tukuone?? Unasubiri nini? Na ni watu gani unasema wanaweza wakaenda kuharibu biashara ya Dotto Magari??
Nyie watu mabwege sana, umaskini wenu ndiyo unafanya muwachukie walio hussle na kufanikiwa?? Kwa hiyo hata yale maandamano ni zuga tu ila lengo lenu ni kuiba na kuharibu, halafu mnajiita Gen Z.
Kwa akili hizi nampongeza aliyeamuru shoot to kill kwa mapimbi kama wewe
Chawa una shida sanachawa mnashida sana
Mkaribishe chai kwako.Umekunywa chai? Achana na Maisha ya watu boss kama unaupenda Simba shabikia Simba. Kama unaupenda Yanga shabikia Yanga. Usiwapangie watu Cha kufanya. Uhuru upo. Nawe Fanya afanyavyo yeye ila kwa chama lako la Simba!
Miaka ya nyuma wakti teja alitaka kukwapua side mirror ya wana fulani pale manyanya aise wale jamaa walimrudia walimkosa na shaba ya mguu ana bahati ilimkosa!Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.
Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.
Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
Wewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?Miaka ya nyuma wakti teja alitaka kukwapua side mirror ya wana fulani pale manyanya aise wale jamaa walimrudia walimkosa na shaba ya mguu ana bahati ilimkosa!
Anyway jamaa kichwa chake resi
Uchawa alianzia kwa matajiri wezi enzi hizo akishnda pale full stop bar nyuma ya mwanamboka
Naona sahv domodomo lake limempaisha zaidi
Ova
Chawa Pro max mwisho wenu unakaribiaSi uende ukaharibu tukuone?? Unasubiri nini? Na ni watu gani unasema wanaweza wakaenda kuharibu biashara ya Dotto Magari??
Nyie watu mabwege sana, umaskini wenu ndiyo unafanya muwachukie walio hussle na kufanikiwa?? Kwa hiyo hata yale maandamano ni zuga tu ila lengo lenu ni kuiba na kuharibu, halafu mnajiita Gen Z.
Kwa akili hizi nampongeza aliyeamuru shoot to kill kwa mapimbi kama wewe
Alikuwa amekuja Kukununua ulipokuwa unajiuza maeneo yaleWewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?
Kubali tu amekuacha kimaisha, sana sana omba akuonyeshe fursa nawe utoke
Fursa za uchawa na kupiga kelele kama mendawazimu ni upuuzi mtupuWewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?
Kubali tu amekuacha kimaisha, sana sana omba akuonyeshe fursa nawe utoke
Sio comedian, ni clown au buffoon zaidi.Dotto Magari usimchukulie serious ,mimi namuona kama comedian tu lopolopo tantalila nyingi.