Dotto magari tuna kufahamu watoto wa kinondoni, Punguza kamdomo

Wewe ulikuwa unafanya nini hapo Kinondoni Manyanya hadi ukamuona Dotto akitaka kuiba side mirror?

Kubali tu amekuacha kimaisha, sana sana omba akuonyeshe fursa nawe utoke
Ashawahi kuwa mpiga debe wangu...mpk kesho akinuona ananiamkia shikamoo ......
Kuwa na adabu alafu wenzako kunondoni mpk kesho tumeacha alama wkt huo vijana tunamiliki coaster route ya posta
Huyo dotto wenu hata anione wapi utasikia shikamoo baharia
Ngoja niishie hapa,anyway namsifu kwa kuachana na matumizi ya madawa

Ova
 
Tatizo kamdomo!
 
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Kabla ya kwenda kuharibu aga kwenu na uache wosia kabisa kwasababu hutarudi ukiwa unapumua.
Hawa jamaa ni madikteta wa hatari. Bahati nzuri hawawezi kumwondoa mtu hapa JF vinginevyo wanaCCM tungekula ban za maisha na kuondolewa kwenye hii platform.
 
Wewe mporipori hujawahi kuishi Kino, enzi ya kina Dotto
Kama umekuja kupanga chumba juzi usitake kujifanya unaijua sana Kino
 
Mshamba huyu wala hata hamjui Dotto, wakuja hawa wanalopokalopoka tu
 
Nyumbu wewe nenda kaharibu uone kitakacho kukuta.
 
Fursa za uchawa na kupiga kelele kama mendawazimu ni upuuzi mtupu
Na unachokifanya mwingine anaweza kuona ni upuuzi kama wasomi mnavyo kejeliwa na maisha yenu magumu. Mnataka mseleleko, kitonga mmekariri madesa hayana faida kwenu sababu hamuwezi yabadili kuwa hela ila mnaweza kubadili kuwa malalamiko na wivu, chuki, choyo na roho mbaya mwisho ni kufa kwa stress
 
Kuna mserereko au kitonga gani zaidi ya kuishi kwa uchawa kwa watawala na matajiri, Ni upuuzi kutaka msomi akalipwe kwa kujirekodi akipiga makelele mitandaoni akitangaza biashara ya kitimoto, ubwabwa wa shilole au akijikomba kwa watawala vilaza wa CCM.
Msitake kututanya taifa lote liwe la malofa na wapumbavu kwa sababu ya akili zenu ndogo za Kiswahili.
 
Ulikuwa dreva wa Coaster umeajiriwa tu, huna uwezo wa kumiliki gari qewe
 
Ni risk taker, yakitokea hayo basi mkeka wake utakua umechanika. Kwa sasa acha aelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…