King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Hahahaa jamaa lopolopo imemtoa ,bongo ukijua kubwabwaja fasta fasta na kuunganisha maneno unatoboa.Kitambo alikuwa anaishi kwa style hiyo kuwadanandia wale wenye hela sema kipaji alikiupgrade si unajuwa wabongo wanapenda lopolopo
Ova
Acheni kuwapa airtime watu useless.Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa.
Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe.
Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini anaweza kusababisha mali issa tambuu kuharibiwa sababu ya yeye kama alivyofanyiwa shishi food.
Kwa hali ya sasa kisiasa na matukio yaliyotokea October 29 bado kuna chuki na hii serikali batili kama inaweza kufika 2030 basi kuna mawili ,labda kulindwa na JWTZ anapokwenda.
Kila mwananchi kawa na hasira maana wengine walikuwa wajaguswa wameguswa na mambo mengine.
Kuropoka na kuziaki wananchi kunasiku nchi ikigeuka anaweza kugeuzwa mwizi naawambia.
Ni sokwe Fulani, mlamba makalio ya viongozi kupiga domo APEWE chochote kitu, yumo kwenye kundi la kuwa tayari kwa chochote ilimradi hela imeingia, ana msanii anaitwa dogo rema,Dotto Magari ni nani? Kafanya nini?
Huku Sirari huyo jamaa hatujawahi kumsikia kabisa!
Na kwa nini unataka kumpangia cha kuongea? Anavunja sheria kwa anayoyasema?
Kama yanakuumiza kayafanyie kazi!
Huyo Issa tambuu msimchukulie poa kabisaJe wajua kuwa kama kuna wafata mikumbo kama wale waliotajwa na ma'am hasa hapa jukwaani wewee unaweza kuwa chanzo cha majanga kwa huyo Issa mkuu!!!