technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Pesa chura kaweka kwa ajili ya kununulia pikipiki ama anaenda kuweka kwenye bahasha za kaki kwa ajili ya 2025.Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.
Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?
Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Sherehe zinafanyika kwa bugdet na mwaka wa budget unajulikana unavyoanza na kuisha na ndiyo maana imesemwa budget zilizowekwa zitumike kwenye shughuli za jamii.Usipindishe Mada. Unataka kusema Uhuru wa Tanganyika ilikuwa 1961/ 1962 au 1961? Nyinyi ndo mnaovamia mada bila kuwa na hoja.
Mkuu, husomi hoja yangu ya msingi? Hivi inakuwaje watu wakasherehekea Krismas na Mwaka mpya kila mwaka bila budget ya serikali? Nyie ndo mnaopumbaza wananchi kuwa maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Muungano nk ni za Viongozi wa Kiserikali na siyo Wananchi. Hiyo bajeti ya maadhimisho Kitaifa inamhusuje Mwananchi aliyeko Kinampanda?Sherehe zinafanyika kwa bugdet na mwaka wa budget unajulikana unavyoanza na kuisha na ndiyo maana imesemwa budget zilizowekwa zitumike kwenye shughuli za jamii.
Krismas na mwaka mpya sio sherehe za kiserikali, kila mtu anatesherehekea kwa bajeti yakeMkuu, husomi hoja yangu ya msingi? Hivi inakuwaje watu wakasherehekea Krismas na Mwaka mpya kila mwaka bila budget ya serikali? Nyie ndo mnaopumbaza wananchi kuwa maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Muungano nk ni za Viongozi wa Kiserikali na siyo Wananchi. Hiyo bajeti ya maadhimisho Kitaifa inamhusuje Mwananchi aliyeko Kinampanda?
Hili ninalolijengea hoja, limewahi kufanyika sana tulikotoka. It is a big shame Viongozi kuwanyima haki ya Wananchi kusherehekea sikukuu yao Kivitongoji,Kijiji, Kata, Tarafa,Wilaya au Kimkoa.
Mimi nataka kuangalia show ya makomandoo waliobeba mabegi yaliyojazwa upepo ile Sinema naipenda sanaWadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Tanganyika haikufa imejibadilisha jina kuitwa Tanzania.Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.
Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?
Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Hilo ninalifahamu vizuri. Hata hivyo kuna makosa makubwa yanabembelezwa. Ukiangalia maana ya neno Tanzania kisiasa ni Tanzania Bara( formerly Tanganyika) plus Zanzibar. Hivyo ni kosa kusema siku ya Uhuru wa Tanganyika,ndiyo imebadilishwa ikawa Uhuru wa Tanzania. Inatakiwa isemwe Uhuru wa Tanzania Bara, kwa vile haihusu sehemu ya Zanzibar.Tanganyika haikufa imejibadilisha jina kuitwa Tanzania.
Ndio maana siku ya uhuru wa Tanganyika inakuwa siku ya Uhuru wa Tanzania.
Katiba ya Tanganyika ndio imegeuzwa kuwa katiba Ya Tanzania. Wakati ule Zanzibar Haikuwa na Katiba.
Basically, most of social needs, ndiyo public and governmental needs. Ndiyo maana Krismass na Mwaka mpya ni public holidays, watumishi wa serikali hawaendi kazini . Wanabaki kimtindo na familia zao, jamaa zao, makanisa yao nk kusherehekea. Hii ina maana, indirectly Serikali imelipia sherehe hizo kwa kupata hasara ya siku ambazo watumishi wake wamepumzika kuzalisha!! Na ndiyo maana pia salary slip za watumishi zinakuwa full pamoja na kutoenda kazini! Comparatively, Sikuku ya kukumbuka Uhuru wetu ni public holiday, the same scenario kwa watumishi kama ilivyo Krismas na Mwaka mpya. Lakini umeiita ni sherehe ya Kiserikali kwa maana ya kuifanya more specific kwa viongozi/ Watawala wa Umma ambao kimsingi ndo walewale watumishi wa Umma.Krismas na mwaka mpya sio sherehe za kiserikali, kila mtu anatesherehekea kwa bajeti yake
Hiyo bajeti inamuhusu mwanamchi sababu imeelezwa kwamba zile bajeti zilizotengwa na taasisi zitumike kupeleka huduma kwa jamii.
Nadhani umehama hoja, umelalamika double standard, nimekujibu bajeti zinatumika kupeleka huduma kwa jamii kwahiyo hata hiyo mapinduzi ya zanzibar mwakani itakuwa kwenye budget ya mwaka huu hivyo tusubiri tuone kama watafanya au lah, then tutahitimisha hicho ulichoita double standard
Double standard kivipi wakati Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zilianza kubanangwa na Mtanganyika mwenyewe, na Wakatokea Watanganyika wa kumshangalia?! Lakini wakati Watanganyika tunafanya huo Uendawazimu, Wazanzibar waliendelea kusherehekea mapinduzi yao bila kuiga uwendawazimu wetu!Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.
Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?
Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Uko sahihi jamaa yule aliharibu kila kitu.Double standard kivipi wakati Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zilianza kubanangwa na Mtanganyika mwenyewe, na Wakatokea Watanganyika wa kumshangalia?! Lakini wakati Watanganyika tunafanya huo Uendawazimu, Wazanzibar waliendelea kusherehekea mapinduzi yao bila kuiga uwendawazimu wetu!
Mnashikia bango mada ya kitoto sana, kuna mtu kamzuia mtanzania wa kawaida kusherehekea sikukuu ya uhuru?.Mkuu, husomi hoja yangu ya msingi? Hivi inakuwaje watu wakasherehekea Krismas na Mwaka mpya kila mwaka bila budget ya serikali? Nyie ndo mnaopumbaza wananchi kuwa maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Muungano nk ni za Viongozi wa Kiserikali na siyo Wananchi. Hiyo bajeti ya maadhimisho Kitaifa inamhusuje Mwananchi aliyeko Kinampanda?
Hili ninalolijengea hoja, limewahi kufanyika sana tulikotoka. It is a big shame Viongozi kuwanyima haki ya Wananchi kusherehekea sikukuu yao Kivitongoji,Kijiji, Kata, Tarafa,Wilaya au Kimkoa.
Unaumia sana moyo kuona wazanzibari wakifanya sherehe za muungano?. Huoni kuwa haya ni mawazo ya kitoto sana?.Double standard kivipi wakati Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zilianza kubanangwa na Mtanganyika mwenyewe, na Wakatokea Watanganyika wa kumshangalia?! Lakini wakati Watanganyika tunafanya huo Uendawazimu, Wazanzibar waliendelea kusherehekea mapinduzi yao bila kuiga uwendawazimu wetu!
Bora wangefuta mwenge sherehe za uhuru zibaki.Huyu mama anasikitisha Sana kwani sherehe za Uhuru lazima zitumie pesa sherehe za Uhuru wa nchi ni muhimu Sana Sana kuliko sherehe zozote katika nchi
Futeni mwenge kwanza unateketeza mabilioni ya pesa!! Sio kuchezea sherehe za mashujaa wetu!!
Ndugu yangu wanakuelewa ila basi tu.. Hizi sherehe ni chochoro nyingine za upigaji za hawa viongozi wetu. Ukija kufuatilia ni hela nyingi inateketezwa. Sasa ili wazipige kwenye mambo mengine, wanaweza tu kufuta wakasema zitaenda kule hata zisiende.Mkuu, husomi hoja yangu ya msingi? Hivi inakuwaje watu wakasherehekea Krismas na Mwaka mpya kila mwaka bila budget ya serikali? Nyie ndo mnaopumbaza wananchi kuwa maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Muungano nk ni za Viongozi wa Kiserikali na siyo Wananchi. Hiyo bajeti ya maadhimisho Kitaifa inamhusuje Mwananchi aliyeko Kinampanda?
Hili ninalolijengea hoja, limewahi kufanyika sana tulikotoka. It is a big shame Viongozi kuwanyima haki ya Wananchi kusherehekea sikukuu yao Kivitongoji,Kijiji, Kata, Tarafa,Wilaya au Kimkoa.
Haswaaaaa!Mkuu funguka, hii ndo sababu ya kufuta sherehe?
Ni kwamba hujui kusoma au HUELEWI?! Ningeumia ningesema wao Wazanzibari hawakuiga uwendawazimu wetu wa kuacha kusherehekea Uhuru wa Tanganyika?! Halafu hilo suala la Sherehe ya Muungano umetoa wapi?!Unaumia sana moyo kuona wazanzibari wakifanya sherehe za muungano?. Huoni kuwa haya ni mawazo ya kitoto sana?.
Wazanzibari wakisherehekea au wasiposherehekea muungano wewe kinakuuma nini?.Ni kwamba hujui kusoma au HUELEWI?! Ningeumia ningesema wao Wazanzibari hawakuiga uwendawazimu wetu wa kuacha kusherehekea Uhuru wa Tanganyika?! Halafu hilo suala la Sherehe ya Muungano umetoa wapi?!
Hivi una matatizo gani wewe?! Nani anazungumzia suala la Sherehe ya Muungano hapo?!Wazanzibari wakisherehekea au wasiposherehekea muungano wewe kinakuuma nini?.