Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

Huyu mama anasikitisha Sana kwani sherehe za Uhuru lazima zitumie pesa sherehe za Uhuru wa nchi ni muhimu Sana Sana kuliko sherehe zozote katika nchi

Futeni mwenge kwanza unateketeza mabilioni ya pesa!! Sio kuchezea sherehe za mashujaa wetu!!
 
Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.

Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?

Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Pesa chura kaweka kwa ajili ya kununulia pikipiki ama anaenda kuweka kwenye bahasha za kaki kwa ajili ya 2025.
 
Sherehe zinafanyika kwa bugdet na mwaka wa budget unajulikana unavyoanza na kuisha na ndiyo maana imesemwa budget zilizowekwa zitumike kwenye shughuli za jamii.
Mkuu, husomi hoja yangu ya msingi? Hivi inakuwaje watu wakasherehekea Krismas na Mwaka mpya kila mwaka bila budget ya serikali? Nyie ndo mnaopumbaza wananchi kuwa maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Muungano nk ni za Viongozi wa Kiserikali na siyo Wananchi. Hiyo bajeti ya maadhimisho Kitaifa inamhusuje Mwananchi aliyeko Kinampanda?
Hili ninalolijengea hoja, limewahi kufanyika sana tulikotoka. It is a big shame Viongozi kuwanyima haki ya Wananchi kusherehekea sikukuu yao Kivitongoji,Kijiji, Kata, Tarafa,Wilaya au Kimkoa.
 
Krismas na mwaka mpya sio sherehe za kiserikali, kila mtu anatesherehekea kwa bajeti yake

Hiyo bujeti inamuhusu mwanamchi sababu imeelezwa kwamba zile bajeti zilizotengwa na taasisi zitumike kupeleka huduma kwa jamii.

Nadhani umehama hoja, umelalamika double standard, nimekujibu bajeti zinatumika kupeleka huduma kwa jamii kwahiyo hata hiyo mapinduzi ya zanzibar mwakani itakuwa kwenye budget ya mwaka huu hivyo tusubiri tuone kama watafanya au lah, then tutahitimisha hicho ulichoita double standard
 
Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.

Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?

Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Tanganyika haikufa imejibadilisha jina kuitwa Tanzania.
Ndio maana siku ya uhuru wa Tanganyika inakuwa siku ya Uhuru wa Tanzania.
Katiba ya Tanganyika ndio imegeuzwa kuwa katiba Ya Tanzania. Wakati ule Zanzibar Haikuwa na Katiba.
 
Hilo ninalifahamu vizuri. Hata hivyo kuna makosa makubwa yanabembelezwa. Ukiangalia maana ya neno Tanzania kisiasa ni Tanzania Bara( formerly Tanganyika) plus Zanzibar. Hivyo ni kosa kusema siku ya Uhuru wa Tanganyika,ndiyo imebadilishwa ikawa Uhuru wa Tanzania. Inatakiwa isemwe Uhuru wa Tanzania Bara, kwa vile haihusu sehemu ya Zanzibar.
Ingependeza sana Watanzania Bara waamue namna nzuri ya kusherehekea sikukuu ya kuzaliwa Taifa lao kama ambavyo Zanzibar wanaamua kwa kutumia katiba yao. I see a very dark future of this " political" Muungano.
 
Krismas na mwaka mpya sio sherehe za kiserikali, kila mtu anatesherehekea kwa bajeti yake

Hiyo bajeti inamuhusu mwanamchi sababu imeelezwa kwamba zile bajeti zilizotengwa na taasisi zitumike kupeleka huduma kwa jamii.

Nadhani umehama hoja, umelalamika double standard, nimekujibu bajeti zinatumika kupeleka huduma kwa jamii kwahiyo hata hiyo mapinduzi ya zanzibar mwakani itakuwa kwenye budget ya mwaka huu hivyo tusubiri tuone kama watafanya au lah, then tutahitimisha hicho ulichoita double standard
Basically, most of social needs, ndiyo public and governmental needs. Ndiyo maana Krismass na Mwaka mpya ni public holidays, watumishi wa serikali hawaendi kazini . Wanabaki kimtindo na familia zao, jamaa zao, makanisa yao nk kusherehekea. Hii ina maana, indirectly Serikali imelipia sherehe hizo kwa kupata hasara ya siku ambazo watumishi wake wamepumzika kuzalisha!! Na ndiyo maana pia salary slip za watumishi zinakuwa full pamoja na kutoenda kazini! Comparatively, Sikuku ya kukumbuka Uhuru wetu ni public holiday, the same scenario kwa watumishi kama ilivyo Krismas na Mwaka mpya. Lakini umeiita ni sherehe ya Kiserikali kwa maana ya kuifanya more specific kwa viongozi/ Watawala wa Umma ambao kimsingi ndo walewale watumishi wa Umma.
Idea yangu ni kuwa, ni kwa nini Wananchi wanakabwa koo namna ya kusherehekea siku ya kukumbuka uhuru wao kupitia kitu ulichosema Budget ambayo naiita uchwara? Ni uchwara kwa sababu mbili,
1. Imeonekana siyo sustainable , ndiyo maana danadana ni nyingi. Kwanza hiyo budget haisemwi kwa walengwa namba 1 ambao ni Wananchi ili waaamue vinginevyo.
2. Niko tayari kusahihishwa. Sijawahi kusikia Sherehe za Mapinduzi[ Matukufu] ikiahirishwa tena siku chache tuu kabla ya tukio. Ndiyo maana kwetu baadhi ya wananchi tunaona kunaweza kuwa na sababu mbadala na zilizoelezwa.
Bado nasisitiza sijaona sababu za msingi sana za kuahirisha sherehe kubwa namna hii kwa kisingizio cha bajeti ya Kiserikali. Tuishauri Serikali njia nzuri ya kuadhimisha sherehe hizi, turithishe mema waliyoyafanya Waasisi wa Taifa letu. Wananchi Kushiriki na kusherehekea maadhimisho kama haya ndiyo njia nzuri ya kuendeleza fikra za Ukombozi za wazee wetu za kuwakomboa wanyonge dhidi ya ukoloni mambo leo.
 
Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa.

Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea?

Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
Double standard kivipi wakati Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zilianza kubanangwa na Mtanganyika mwenyewe, na Wakatokea Watanganyika wa kumshangalia?! Lakini wakati Watanganyika tunafanya huo Uendawazimu, Wazanzibar waliendelea kusherehekea mapinduzi yao bila kuiga uwendawazimu wetu!
 
Uko sahihi jamaa yule aliharibu kila kitu.
 
Mkuu, husomi hoja yangu ya msingi? Hivi inakuwaje watu wakasherehekea Krismas na Mwaka mpya kila mwaka bila budget ya serikali? Nyie ndo mnaopumbaza wananchi kuwa maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Muungano nk ni za Viongozi wa Kiserikali na siyo Wananchi. Hiyo bajeti ya maadhimisho Kitaifa inamhusuje Mwananchi aliyeko Kinampanda?
Hili ninalolijengea hoja, limewahi kufanyika sana tulikotoka. It is a big shame Viongozi kuwanyima haki ya Wananchi kusherehekea sikukuu yao Kivitongoji,Kijiji, Kata, Tarafa,Wilaya au Kimkoa.
Mnashikia bango mada ya kitoto sana, kuna mtu kamzuia mtanzania wa kawaida kusherehekea sikukuu ya uhuru?.

Rais akiwa mkuu wa nchi kaamua pasiwe na shamra shamra za uwanjani siku hiyo na pesa ikafanye shughuli nyingine za maana zaidi, hilo nalo ni kosa kwa akili zetu!.
 
Double standard kivipi wakati Sherehe za Uhuru wa Tanganyika zilianza kubanangwa na Mtanganyika mwenyewe, na Wakatokea Watanganyika wa kumshangalia?! Lakini wakati Watanganyika tunafanya huo Uendawazimu, Wazanzibar waliendelea kusherehekea mapinduzi yao bila kuiga uwendawazimu wetu!
Unaumia sana moyo kuona wazanzibari wakifanya sherehe za muungano?. Huoni kuwa haya ni mawazo ya kitoto sana?.
 
Huyu mama anasikitisha Sana kwani sherehe za Uhuru lazima zitumie pesa sherehe za Uhuru wa nchi ni muhimu Sana Sana kuliko sherehe zozote katika nchi

Futeni mwenge kwanza unateketeza mabilioni ya pesa!! Sio kuchezea sherehe za mashujaa wetu!!
Bora wangefuta mwenge sherehe za uhuru zibaki.
 
Mkuu, husomi hoja yangu ya msingi? Hivi inakuwaje watu wakasherehekea Krismas na Mwaka mpya kila mwaka bila budget ya serikali? Nyie ndo mnaopumbaza wananchi kuwa maadhimisho ya sherehe za Uhuru, Muungano nk ni za Viongozi wa Kiserikali na siyo Wananchi. Hiyo bajeti ya maadhimisho Kitaifa inamhusuje Mwananchi aliyeko Kinampanda?
Hili ninalolijengea hoja, limewahi kufanyika sana tulikotoka. It is a big shame Viongozi kuwanyima haki ya Wananchi kusherehekea sikukuu yao Kivitongoji,Kijiji, Kata, Tarafa,Wilaya au Kimkoa.
Ndugu yangu wanakuelewa ila basi tu.. Hizi sherehe ni chochoro nyingine za upigaji za hawa viongozi wetu. Ukija kufuatilia ni hela nyingi inateketezwa. Sasa ili wazipige kwenye mambo mengine, wanaweza tu kufuta wakasema zitaenda kule hata zisiende.
 
Unaumia sana moyo kuona wazanzibari wakifanya sherehe za muungano?. Huoni kuwa haya ni mawazo ya kitoto sana?.
Ni kwamba hujui kusoma au HUELEWI?! Ningeumia ningesema wao Wazanzibari hawakuiga uwendawazimu wetu wa kuacha kusherehekea Uhuru wa Tanganyika?! Halafu hilo suala la Sherehe ya Muungano umetoa wapi?!
 
Wazanzibari wakisherehekea au wasiposherehekea muungano wewe kinakuuma nini?.
 
Back
Top Bottom