Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Juzi tulipumzika bila ya kulazimika kuangalia gwaride na makomandoo wenye kuvunja matofali vifuani mwao na pesa zinakwenda kutumika kwenye masuala mengine.Hivi una matatizo gani wewe?! Nani anazungumzia suala la Sherehe ya Muungano hapo?!
Hizo nongwa nyingine ni upuuzi tu wa humu mitandaoni.