Double Standard ndio italiangamiza Taifa

Naunga mkono hoja.
P
sabaya katenda unyama sana kupora watu wake zao na kubaka ni mambo ambayo hata shetani hajawahi fanya hazarani!
fikiria wewe umelala usiku mtu anakuja na wahuni ana kupora mke wako Bwana Pascal 🤔🤔🤔
wana mali zana na mke wako ukiwa una sikia na wana gusa sehemu ambayo wewe huja wahi mgusa!!
hakika wange weka bucha pale moshi wakaandika sabaya nyama kwa mara ya kwanza watu wange mla mbichi!!!
 
Kwema Wakuu!!

Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.

Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.

Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.

Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.

Wanaofahamika.

Nawasilisha
Well said mkuu
 
Naunga mkono hoja.
P
Sasa Paskal nawewe umekua kanjanja?
Mtu anasema na wengine!!!!!!!!!
Hao wengine ni wepi hao.
Hana hoja maana kushughulikiwa hajaanza sabaya, tangu enzi za nyerere watu walishughulikiwa ila ni kina nani?
Syo mtu unatoka kulala na mumeo unaamka unaanza kuleta hoja mfu.

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Ikiwemo na hao wafanyabiashara waliokuwa wanakwepa kodi
Ulidanganywa na Sabaya kwamba kuna wafanya biashara walikua wanakwepa kodi. Alitumia hizo gia kujipatia pesa kwa wale waoga. Mbona alikwama kwa Machame Safaris na Lim Safaris? Mlidanganywa sana na hizo mbinu kama vile mlivyodanganywa na zile lugha za Rais wa "wanyonge"
 
Kwani wale majambazi wa Magari Moshi arusha hadi Nairobi wanatokea wapi kama sio HAI?
 
Endelea na stories za vijiweni. Sasahivi aibu ya mwendazake inawekwa peupe, mama hataki uonevu. Atayaweka wazi maovu ili muijue vizuri "Legacy" ya mwendakuzimu
 
Uzuri sabaya ni mwepesi akibinywa kende atawaja wote hadi waliompa bunduki ya kufanyia uhalifu wote wajiande atokubali kufa pekee.
Alipata wapi pingu, bastola na smg ushahidi ccctv camera.SMG ni silaha ya kivita hairuhusiwi raia kumiliki,Jerry muro ishu ya kukutwa na pingu tu ilimtoa kamado.DC si askari aliruhusiwa vipi kushika smg tena usiku kufanya nini,plus Yale magari aliyoyapiga chata ya UN aliyapata wapi maana UN walikanusha na kulaani kitendo kile.
 
Kwema Wakuu!!

Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.

Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.

Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.

Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.

Wanaofahamika.

Nawasilisha
Hoja yako imelenga nin?? Hazhwa mkuu ....
Serikali kupambana na sabaya haimaanishi kuna double standard hapana. bali ni kutekeleza matakwa ya kikatba .
Watu walikuwa wanainyaga katba kama ya kwao wao tuu. Pasipo kujuwa kesho yake
Naisopot hali hii 100%
 
Kwema Wakuu!!

Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.

Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.

Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.

Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.

Wanaofahamika.

Nawasilisha
Naunga mkono na mguu
 
Back
Top Bottom