Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sabaya katenda unyama sana kupora watu wake zao na kubaka ni mambo ambayo hata shetani hajawahi fanya hazarani!Naunga mkono hoja.
P
Jerry Muro achunguzwe sambamba na Mnyeti.Bashite hatakiwi kuishi uraiani,amechafuka sana kuliko sabaya
Well said mkuuKwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Na yeye lazima alipwe sawa sawa na matendo yake,jinai huwa haifiBashite ni zaidi ya Sebaya
Sasa Paskal nawewe umekua kanjanja?Naunga mkono hoja.
P
Hao mamlaka husika zina deal nao.Ikiwemo na hao wafanyabiashara waliokuwa wanakwepa kodi
Prove kua serikali inajuaSerikali unajua ninazungumzia nini
[emoji1548][emoji1545][emoji1545][emoji736][emoji817]Sawa ndugu mstaafu. Nimekuelewa
Mnaweza kuisaidia serikali kuwajua hao watu?Naunga mkono hoja.
P
Wahujumu uchumiHao mamlaka husika zina deal nao.
Sheria za kodi hazimfungi mtu
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Ulidanganywa na Sabaya kwamba kuna wafanya biashara walikua wanakwepa kodi. Alitumia hizo gia kujipatia pesa kwa wale waoga. Mbona alikwama kwa Machame Safaris na Lim Safaris? Mlidanganywa sana na hizo mbinu kama vile mlivyodanganywa na zile lugha za Rais wa "wanyonge"Ikiwemo na hao wafanyabiashara waliokuwa wanakwepa kodi
Kwani wale majambazi wa Magari Moshi arusha hadi Nairobi wanatokea wapi kama sio HAI?Ulidanganywa na Sabaya kwamba kuna wafanya biashara walikua wanakwepa kodi. Alitumia hizo gia kujipatia pesa kwa wale waoga. Mbona alikwama kwa Machame Safaris na Lim Safaris? Mlidanganywa sana na hizo mbinu kama vile mlivyodanganywa na zile lugha za Rais wa "wanyonge"
Endelea na stories za vijiweni. Sasahivi aibu ya mwendazake inawekwa peupe, mama hataki uonevu. Atayaweka wazi maovu ili muijue vizuri "Legacy" ya mwendakuzimuKwani wale majambazi wa Magari Moshi arusha hadi Nairobi wanatokea wapi kama sio HAI?
Smart Bashite will be a very strong survivors of the legime,fruit of nature being at the middle.Coming next is.....bashiteeeee
Hoja yako imelenga nin?? Hazhwa mkuu ....Kwema Wakuu!!
Serikali iwe macho, tena macho haswa katika kushughulikia baadhi ya Mambo Kama ya kina Ole Sebaya.
Sebaya apewe anachostahili kisha na wengine waliotumika kufanya uhuni na kuvunja sheria washughulikiwe.
Kumshughulikia Ole Sebaya pekee hata Kama ana makosa na kuwaacha wengine kutampa Credit kubwa Sebaya na kuonekana anaonewa na serikali itaingia katika mgawanyiko usio wa lazima.
Nashauri, baada ya Sebaya kupewa haki zake, basi na wengine wanaofahamika wenye tuhuma wafikishwe kizimbani ili kuondoa double Standard.
Wanaofahamika.
Nawasilisha
Naunga mkono na mguuKwema Wakuu!!