Double Standards: Waliokosea kuapa walikuwa wawili lakini mkosaji akawa mmoja

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,716
Reaction score
9,051
Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.

Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa nishati ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.

Naamini ilikuwa ni aidha wote wasamehewe na kurekebishwa au wote waondolewe.
 
Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.

Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa fedha ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.

Mkuu,

Hujawahi kumsema vizuri Mh. Rais, lakini cha pili ukosoaji wako ni wakishabiki na huna uhakika na ulichokiandika. Hivi Ndulane aliapa kwa ajili ya Unaibu waziri wa fedha? Hizi siasa kwa watu ambao hamjasomea zimewaathiri sana vichwani hivi kazi kuvizia tu Mh. Rais ataongea nini ili umukosoe.

Hata hivyo Mh. Mwanaidi Ali Khamis pamoja na kurejea aliapa kwa usahihi, sauti ilikuwa na ujasiri kidogo kuliko hyuo mwanaume msomi.

Kuwa na shahada ya uzamili maana yake unauwezo wa kujitegemea katika utendaji wa mambo maana hukusoma kufaulu mtihani ila ulisoma kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya jambo fulani linalowaathiri jamii.

Umeandika ili uonekane umempinga na kumkosoa Mh Rais, kizazi chako kimepotea mazima
 
Aisee..unakurupuka ili ufikishe post za kulipwa leo? Soma kwa makini aise
 
CCM wanamalizana kwa vipapai - kura za maoni bado zinawatesa.
 
Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.

Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa fedha ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.

Naamini ilikuwa ni aidha wote wasamehewe na kurekebishwa au wote waondolewe.
Moshi wa Ruangwa ulimwandama tokea Lindi
 
Sasa we si unaufahamu ugonjwa wa mzee meko mkuu.. anapenda sana weupe so asingeweza kumtumbua mrembo hata kama jana angeshindwa kabisa kuapa angemwapisha siku nyingine!!
 
Mkuu,

Hujawahi kumsema vizuri Mh. Rais, lakini cha pili ukosoaji wako ni wakishabiki na huna uhakika na ulichokiandika. Hivi Ndulane aliapa kwa ajili ya Unaibu waziri wa fedha? Hizi siasa kwa watu ambao hamjasomea zimewaathiri sana vichwani hivi kazi kuvizia tu Mh. Rais ataongea nini ili umukosoe.

Hata hivyo Mh. Mwanaidi Ali Khamis pamoja na kurejea aliapa kwa usahihi, sauti ilikuwa na ujasiri kidogo kuliko hyuo mwanaume msomi.

Kuwa na shahada ya uzamili maana yake unauwezo wa kujitegemea katika utendaji wa mambo maana hukusoma kufaulu mtihani ila ulisoma kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya jambo fulani linalowaathiri jamii.

Umeandika ili uonekane umempinga na kumkosoa Mh Rais, kizazi chako kimepotea mazima
Naona wewe ndo una negativity

hilo naibu waziri wa fedha hapo inaonekana ni typing error hata kwa mwenye ubongo mzito,

pili ameuliza tu kwa nini awe mmoja aliyekosea na siyo wote!

hapo shida iko wapi?
 
You were not the one who was replied unless otherwise you have multiple fake IDs to provoke others freedom of expression
 
Bidada hakukosea kivile ni kwamba neno mapinduzi limemkaa kichwani..huo ni uzalendo wa hali ya juu.
Msinipige mawe
 
Back
Top Bottom