Mkuu,
Hujawahi kumsema vizuri Mh. Rais, lakini cha pili ukosoaji wako ni wakishabiki na huna uhakika na ulichokiandika. Hivi Ndulane aliapa kwa ajili ya Unaibu waziri wa fedha? Hizi siasa kwa watu ambao hamjasomea zimewaathiri sana vichwani hivi kazi kuvizia tu Mh. Rais ataongea nini ili umukosoe.
Hata hivyo Mh. Mwanaidi Ali Khamis pamoja na kurejea aliapa kwa usahihi, sauti ilikuwa na ujasiri kidogo kuliko hyuo mwanaume msomi.
Kuwa na shahada ya uzamili maana yake unauwezo wa kujitegemea katika utendaji wa mambo maana hukusoma kufaulu mtihani ila ulisoma kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya jambo fulani linalowaathiri jamii.
Umeandika ili uonekane umempinga na kumkosoa Mh Rais, kizazi chako kimepotea mazima