Mkuu,Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.
Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa fedha ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.
Naamini ilikuwa ni aidha wote wasamehewe na kurekebishwa au wote waondolewe.
Aisee..unakurupuka ili ufikishe post za kulipwa leo? Soma kwa makini aiseMkuu,
Hujawahi kumsema vizuri Mh. Rais, lakini cha pili ukosoaji wako ni wakishabiki na huna uhakika na ulichokiandika. Hivi Ndulane aliapa kwa ajili ya Unaibu waziri wa fedha? Hizi siasa kwa watu ambao hamjasomea zimewaathiri sana vichwani hivi kazi kuvizia tu Mh. Rais ataongea nini ili umukosoe.
Hata hivyo Mh. Mwanaidi Ali Khamis pamoja na kurejea aliapa kwa usahihi, sauti ilikuwa na ujasiri kidogo kuliko hyuo mwanaume msomi.
Kuwa na shahada ya uzamili maana yake unauwezo wa kujitegemea katika utendaji wa mambo maana hukusoma kufaulu mtihani ila ulisoma kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya jambo fulani linalowaathiri jamii.
Umeandika ili uonekane umempinga na kumkosoa Mh Rais, kizazi chako kimepotea mazima
ilikuwaje akateuliwa... ina maana kitengo cha vetting na chenyewe ni cheupee peeeeYule Dada alikuwa mweupe peeee
Moshi wa Ruangwa ulimwandama tokea LindiNilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.
Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa fedha ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.
Naamini ilikuwa ni aidha wote wasamehewe na kurekebishwa au wote waondolewe.
Kwani uteuzi ni kwa weusi tu?ilikuwaje akateuliwa... ina maana kitengo cha vetting na chenyewe ni cheupee peeee
afu dadangu ubunge viti maalum vipi, au fitna imefanyika? maana sikuona jina lako.Kwani uteuzi ni kwa weusi tu?
Sasa we si unaufahamu ugonjwa wa mzee meko mkuu.. anapenda sana weupe so asingeweza kumtumbua mrembo hata kama jana angeshindwa kabisa kuapa angemwapisha siku nyingine!!Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.
Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa fedha ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.
Naamini ilikuwa ni aidha wote wasamehewe na kurekebishwa au wote waondolewe.
Hii ndiyo sababu kuuYule Dada alikuwa mweupe peeee
Naona wewe ndo una negativityMkuu,
Hujawahi kumsema vizuri Mh. Rais, lakini cha pili ukosoaji wako ni wakishabiki na huna uhakika na ulichokiandika. Hivi Ndulane aliapa kwa ajili ya Unaibu waziri wa fedha? Hizi siasa kwa watu ambao hamjasomea zimewaathiri sana vichwani hivi kazi kuvizia tu Mh. Rais ataongea nini ili umukosoe.
Hata hivyo Mh. Mwanaidi Ali Khamis pamoja na kurejea aliapa kwa usahihi, sauti ilikuwa na ujasiri kidogo kuliko hyuo mwanaume msomi.
Kuwa na shahada ya uzamili maana yake unauwezo wa kujitegemea katika utendaji wa mambo maana hukusoma kufaulu mtihani ila ulisoma kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya jambo fulani linalowaathiri jamii.
Umeandika ili uonekane umempinga na kumkosoa Mh Rais, kizazi chako kimepotea mazima
Mkuu,Naona wewe ndo una negativity
hilo naibu waziri wa fedha hapo inaonekana ni typing error hata kwa mwenye ubongo mzito,
pili ameuliza tu kwa nini awe mmoja aliyekosea na siyo wote!
hapo shida iko wapi?
Ukweli ndo Huo,Mkuu,
You were not the one who was replied unless otherwise you have multiple fake IDs to provoke others freedom of expression
Wasukuma wakiona wanawake weupe wanachanganyikiwa.ilikuwaje akateuliwa... ina maana kitengo cha vetting na chenyewe ni cheupee peeee