ππππππππ Ah watanzania mna maneno nyie"' duh nimecheka sana. Vipi ni weupe upi unaoweza kukuokoa hata ukikosea kuapa? Wa asili au hata huu wa dukani? Nipo na dadangu mweupe peeeee anazagaa zagaa tu hapa. ππππππππYule Dada alikuwa mweupe peeee
Mkuu,
Hujawahi kumsema vizuri Mh. Rais, lakini cha pili ukosoaji wako ni wakishabiki na huna uhakika na ulichokiandika. Hivi Ndulane aliapa kwa ajili ya Unaibu waziri wa fedha? Hizi siasa kwa watu ambao hamjasomea zimewaathiri sana vichwani hivi kazi kuvizia tu Mh. Rais ataongea nini ili umukosoe.
Hata hivyo Mh. Mwanaidi Ali Khamis pamoja na kurejea aliapa kwa usahihi, sauti ilikuwa na ujasiri kidogo kuliko hyuo mwanaume msomi.
Kuwa na shahada ya uzamili maana yake unauwezo wa kujitegemea katika utendaji wa mambo maana hukusoma kufaulu mtihani ila ulisoma kwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya jambo fulani linalowaathiri jamii.
Umeandika ili uonekane umempinga na kumkosoa Mh Rais, kizazi chako kimepotea mazima
Wote hao hawana faida kwa nchi yetu achana wafukuzane hawana la maanaNilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.
Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa nishati ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.
Naamini ilikuwa ni aidha wote wasamehewe na kurekebishwa au wote waondolewe.
SureWasukuma wakiona wanawake weupe wanachanganyikiwa.
Wasukuma wakiona wanawake weupe wanachanganyikiwa.
Unge specify kuwa ni Wasukuma "ME"Wasukuma wakiona wanawake weupe wanachanganyikiwa.
Mama wa 50/50 eti! Kumbe unajua kwamba huo usawa haupo kwenye dunia hiiHuyo Fransis vile mwanaume siunajua treatment ya mwanaume kwa mwanaume ni tofauti na mwanamke, remember negative and positive charge attracts each other.
Mambo ya usawa hayahusiki hyo ni nature tu ya asili haihusiki na 50/50 mkuu, wewe unaweza kujilinganisha na mwanamke mrembo, SAUTi nyororo na wewe dume umekosea unafikiria mtakuwa sawa?Mama wa 50/50 eti! Kumbe unajua kwamba huo usawa haupo kwenye dunia hii
Kwani hao wawili wote ni wanawake weupe?Nilifanikiwa kufatilia tukio la uapishaji wa mawaziri na wa kwanza ambae zoezi hili halikumuendea vyema ni Bi. Mwanaidi Ali Hamisi kwenye nafasi ya Naibu Waziri wa Fedha ambaye kiapo husika alikirejea mara tatu kwa maelezo ya Balozi Kijazi, Mara zote hizo Rais Magufuli alimvumilia mpaka alipoweza kuapa sawasawa kulingana na kiapo kilivyoandikwa.
Balaa likampata ndugu Frascis Ndulane kwenye nafasi ya unaibu waziri wa nishati ambae alipewa maelekezo mara moja na Ndugu Kijazi, baada ya hapo mheshimiwa Rais aliamuru Ndugu Ndulane arejee na kuacha kuendelea na kiapo.
Naamini ilikuwa ni aidha wote wasamehewe na kurekebishwa au wote waondolewe.
Hata wewe, kisa kukosa teuzi hiyo ni nongwa ya kubananga jinsia yako ndio maana hamuendelei wanawake kwa sababu mnachukiana wenyewe kwa wenyweYule Dada alikuwa mweupe peeee
mkuu uhakika unao??πππWasukuma wakiona wanawake weupe wanachanganyikiwa.
mkuu uhakika unao??πππ ... "mama samia ni mzuri mweupeee".. jiweWasukuma wakiona wanawake weupe wanachanganyikiwa.