"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Hilo jambo kila mtu ameshaliona halina mjadala hawa huwa wanajua haki kiongozi akiwa siyo mkatoliki ndio utaona kila aina ya matamko na waraka, waache mama afanye kazi waraka wao ni kiunazi na kiushabiki
Mama afanye kazi ya kutupeleka utumwani, hapana, haiwezekani, kama mnampenda sana mama yenu muondoeni ikulu mkakae nae nyumbani.
 
Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa,ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuz ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake,hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete,kias kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamiz uhuru wa vyombo vya habari na speech,kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndan ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa,hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha,pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndan ya Taifa hili??

Nin kinawasukuma nyuma ya Criticism zao,uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini??
TEC na Kanisa wanaipigania Tanganyika na vizazi vyao , nyie ipiganieni Zanzibar
 
Mbona nyie ( hasa wewe na yule bibi) Rais akiwa mkristo mnapotea ila akija dini yetu ile mnaibuka na kuanza kuitetea kama hivi? Awamu ya 4 uliigeuka kwenye issue ya korosho tu ila tunajua ni Lumumba promax...
Hao wajinga wanafikili hatuna uelewa 'hatuwaelewi' jinsi walivyo wadini

Kuna huyu The Big Show, Faiza mbweha 'foxy', The Boss, nakadhalika
 
Who's TEC and who's Pengo?
 
Wab

Wabinafsi sana hao wamezoea kuiibia serikali hasa inapoongozwa na mkatoliki. Kwa ufupi ni watu wabaguzi, kwa Pengo Magufuli hata angeua wananchi kiasi gani asingeongea chochote angeona ni sawa tu.
 
Hao wajinga wanafikili hatuna uelewa 'hatuwaelewi' jinsi walivyo wadini

Kuna huyu The Big Show, Faiza mbweha 'foxy', The Boss, nakadhalika
Safi, kumbe unawafahamu hawa wanafiki, huu mchezo wao wa kizamani kuwalinda waharibifu kisa ni wenzao katika imani, safari hii umefika mwisho, watambue wamefeli, na hatanyamaza mtu.
 
Hata kama wapo hivyo kweli acha wawe kama mambo yenyewe ni haya ya kugawa pumzi ya taifa kwa wageni.

Wewe hao Mkapa na Magufuli uliosema hawakuandamwa na hao uliowataja kuna siku ulisikia wakisema wanataka kutoa bandari kwa wageni?tena kwa mikataba iliyogubikwa na utata?Mwinyi aliuza kipande cha ardhi sijaona ukiweka hapa maoni yako namna unavyolichukulia hilo.

Shida ni hizi dini zinatufikisha mahali hatuuoni hata umuhimu wa taifa letu,ilibidi hata Bakwata waseme kitu lakini nao wapo kimyaa kisa kaingia mkataba aliyewapa dini!

Hakuna sehem nimesema chochote kuhusu mkataba uliopo huo wa bandari Wala kumsapot Samia,hapa nazungumzia kuhusu hawa wakosoaji,kwanin wanachagua?
 
Mbona nyie ( hasa wewe na yule bibi) Rais akiwa mkristo mnapotea ila akija dini yetu ile mnaibuka na kuanza kuitetea kama hivi? Awamu ya 4 uliigeuka kwenye issue ya korosho tu ila tunajua ni Lumumba promax...
Wamekuja kumtetea hangaya🤣🤣kiti kimempwaya,ye kila desa analoletewa anasaini tu bila kusoma,mvivu wa kusoma🤣🤣 🤣 Aiseeh ktk awamu tumepata rahisi bomu ni hii 🙏🙏
 
Wab

Wabinafsi sana hao wamezoea kuiibia serikali hasa inapoongozwa na mkatoliki. Kwa ufupi ni watu wabaguzi, kwa Pengo Magufuli hata angeua wananchi kiasi gani asingeongea chochote angeona ni sawa tu.

Wana ajenda za hovyo sana,na ukiwaendekeza hawa huwez ongoza nchi kabisa,ni watu wa kupenda vitu vya dezo dezo wakiona hawavipati wanaanza fujo za waraka waraka zao,wakafungie vitumbua tuh
 
Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.

Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa,ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.

Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?

During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuz ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake,hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kias kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamiz uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndan ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa,hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha,pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndan ya Taifa hili?

Nin kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Hata wewe hukuzuiwa kuyasema hayo unayoyasema ya regime zilizopita.pengo katimiza wajibu wake kama mtz kuupinga huu upuuzi wa kuuza mali za umma.
 
Mbona hakupinga nchi kuzikwa kidemokrasia?huu upuuz wa bunge Moja linalopitisha hayo madudu huko bungeni ni outcomes za JPM, mbona hawakusimama kumkosoa
 
Si kweli,hata nafsi yako,inaelewa tumepata rahisi mweupe kupita maelezo,ni kama nchi inajiendea tu kama boti ilopoteza mwelekeo baharini🙏

Kuongoza nchi siyo jambo rahis kama kuimba kwaya na kuandika waraka kama unavyodhani,muda utaongea
 
Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.

Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa,ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.

Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?

During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuz ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake,hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kias kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamiz uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndan ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa,hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha,pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndan ya Taifa hili?

Nin kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Pamoja na maoni yako mazuri wenzetu tumejipanga tayari. Hivyo huwezi kuwaondoa ktk reli.

Hivyo kwasasa sisi hatuna chama kinachotutetea.

Tukumbuke tatizo la nchi hii si sera, si jina la chama.

Tatizo la nchi hii ni falsafa na itikadi ya taifa.

Falsafa na Itikadi ndio chanzo cha sheria, sera na hata utamaduni wa nchi.

Hivyo adui yetu ni Ujamaa na itikadi ya kutokuwa na dini.

Pamoja na kuwepo vyama vyote hivi lakini vina itakadi moja ambayo ndio jinamizi kwetu sisi upande wa kuumeni.

Wewe ni mwamba unaejielewa.

Nimebaini Tz inahitaji chama Chenye itikadi ya kuunda SERIKALI YA DINI ZOTE.

Falsafa ya chama itakuwa UADILIFU NA IHISANI.

Chama kitachounda serikali ya majimbo 6 yenye mamlaka zaidi kama ilivyo sasa kwa jimbo la znz.

Ujinga huu wa watu hawa kutoka jamii za wakulima na wafugaji utaisha.

Kwa kuwa wao watatetea mahindi, mpunga, mbuga, pombe, migodi nk na kutetea kizazi cha wanawake wasiolewe huko majimboni kwa walikotoka.

Haya mambo ya gesi, bandari na mafuta tutapigania sisi yenyewe.

Mnaonaje watz
 
Si kweli,hata nafsi yako,inaelewa tumepata rahisi mweupe kupita maelezo,ni kama nchi inajiendea tu kama boti ilopoteza mwelekeo baharini🙏

Wewe ukitaka Rais wa kuja kushika watu na kuwabambikia kesi za ajabu ajabu?ukitaka Rais wa kuzuia account za bank na kuwafilsili wafanyabiashara na kuwataka waish kama. Wako motoni siyo, nchi inaendeshwa kwa utaratibu
 
Utaratibu upi unaofuata? Wa kuuza bandari yetu kisa hajui kusoma na kuchakata mambo kisomi?
 
Back
Top Bottom