"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.

Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa,ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.

Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?

During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuz ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake,hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kias kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamiz uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndan ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa,hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha,pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndan ya Taifa hili?

Nin kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Umeandika uongo wakati wa JPM maasikofu walitoa nyaraka mbili kuukosoa utawala wake.
 
Hilo jambo kila mtu ameshaliona halina mjadala hawa huwa wanajua haki kiongozi akiwa siyo mkatoliki ndio utaona kila aina ya matamko na waraka, waache mama afanye kazi waraka wao ni kiunazi na kiushabiki

Kabisa, walikuwa wapi kutoa Waraka zao kipindi JPM anaua demokrasia ndan ya nchi hii
 
Siasa za bongo kama bendera fuata upepo.

Nimesubiri sana akosoe MoU ya 1992 ya serikali na kanisa lakini nachoshuhudia ni meno yangu kuendelea kupukutika mdomoni na mgongo kupinda
 
Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa,ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuz ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake,hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete,kias kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamiz uhuru wa vyombo vya habari na speech,kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndan ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa,hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha,pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndan ya Taifa hili??

Nin kinawasukuma nyuma ya Criticism zao,uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini??
Usipoteshe, TEC haijawahi kuwa biased. Pengo ndiye biased
 
Mama afanye kazi ya kutupeleka utumwani, hapana, haiwezekani, kama mnampenda sana mama yenu muondoeni ikulu mkakae nae nyumbani.
Kwani huu ndio mkataba wa kwanza serikali kuingia ubia na taasisi za nje? Hela za escrow zilienda hadi makanisani mbona hawakusema kitu kama wao ni watu wa haki? Midomo inakuwa mirefu akiwa kiongozi sio wa upande wao ,waache vyombo husika vya nchi vifanye kaxi, bunge lipo, cag yupo etc
 
Ajenda ya udini haina maana yoyote.
Ajenda iliyopo ni Samia kuuza bandari yetu.

Akauze ya kwao Zanzibar.
Sahihi kabisa. Hawawezi kuuza mali za Tanganyika kwa Mwabwana zao wa Kiarabu kwa mgongo wa dini, au jinsia. Linapokuja suala lenye maslahi ya nchi, tunatakiwa kuungana pamoja.
 
Sahihi kabisa. Hawawezi kuuza mali za Tanganyika kwa Mwabwana zao wa Kiarabu kwa mgongo wa dini, au jinsia. Linapokuja suala lenye maslahi ya nchi, tunatakiwa kuungana pamoja.

Sasa kuwa pamoja vip,unaongea tuh mbona kwenye maandamano sijakuona pale,mnashindwa had na wadada katika kuandamana,wewe umebakia kuandamana JF tuh
 
Kwani huu ndio mkataba wa kwanza serikali kuingia ubia na taasisi za nje? Hela za escrow zilienda hadi makanisani mbona hawakusema kitu kama wao ni watu wa haki? Midomo inakuwa mirefu akiwa kiongozi sio wa upande wao ,waache vyombo husika vya nchi vifanye kaxi, bunge lipo, cag yupo etc

Ilikua mbaya sana Jins walivyopapatikia mgao wa Escrow,usokite you wanalalama kwa kuwa hawajaona upenyo wa kushirikishwa katika hili pia
 
Sahihi kabisa. Hawawezi kuuza mali za Tanganyika kwa Mwabwana zao wa Kiarabu kwa mgongo wa dini, au jinsia. Linapokuja suala lenye maslahi ya nchi, tunatakiwa kuungana pamoja.
Yes but we have to be fair and objective, haiwezekani hapa kuna viongozi waligawana nyumba za serikali halafu mawaziri wakapangiwa hotel nchi hii hii lakini hawa walalamishi walikaa kimya, kuna viongozi walijigaia migodi na wakaingia mikataba ya hovyo ya migodi watu walikaa kimya, kuna viongozi awamu zao zilijaa ukatili wa kila aina watu walipotezwa, oesa za serikali liingizwa mifukoni mwao yote haya walikaa kimya, ila kiongozi akiwa si wa upande wao hawaishi kutoa waraka na kulalamika kila kitu kinachofanywa hii sio haki hatupo pamoja kwenye hili ni unafki
 
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuz ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake,hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.
Walimwita kitako akawasikia akawaelewa akatubu
 
Mbona nyie ( hasa wewe na yule bibi) Rais akiwa mkristo mnapotea ila akija dini yetu ile mnaibuka na kuanza kuitetea kama hivi? Awamu ya 4 uliigeuka kwenye issue ya korosho tu ila tunajua ni Lumumba promax...
Too low from you ..Tec na Pengo ni Sawa na anonymous I'd za Jf??
 
Back
Top Bottom