"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Hawako selective..
Wako openly biased...hawajali Nani anasema nini..
Ni mavuno ya kuwaendekeza na kuwapa platforms unnecessary.....

Watu wanatazama .. ukweli unaonekana.. wanachokipanda watakivuna
Wacheni upuuzi wenu, mnamtisha nani?!

Tunataka bandari zetu Tanganyika, Samia ni msaliti.
 
TEC walitoa wakala mzito dhidi ya utawala wa Magufuli kwenye issue ya demokrasia.

Umewasahau maaskofu akina Severine niwemugizi walionyang'anywa passport?

Umemsahau askofu Bangoza?

Umemsahau Father Raymond Saba?

Umesahau Maaskofu walivyomkatalia wazi Magufuli kwenye issue ya Covid?
Umegoma kuwa mnafiki, ajabu hilo jinga na wenzake litajidai halioni hili.
 
Hatuwajibu wezi na mafisadi sisi. Tunaenda kuifanya bandari ijiendeshe kisayansi chini ya DP World ili majizi na mafisadi yaangukie pua.
Mafisadi gani!? Hao walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao na mama yako!!?
Btn mmeshindwa kabla hamjaanza
 
Tuwekee hiyo mikataba ya hovyo ya migodi hapa tuijadili, usilete story zako za kusadikika, kachezeeni akili za wajinga, kwa sasa bandari za Tanganyika zirudi, hamuwezi kuzitoa kwa mwarabu milele, hata wajukuu zako watakuja kukulaani kwa haya mawazo yako hapa.
AU hujui kwamba magufuli aliifanyia reviw yote hadi wazungu wakatishia kususa na kutushitaki na hili pia hujui?? Hujui kabudi pia alifanya kazi gani kwenye mikataba ya migodi?? Sasa tunjadili nini kama mtu mwenyewe hujui chochote hadi vitu obvius pia unabisha
 
Ishu ya COVID ilikua wazi na kituko Cha dunia,wangefanya nin Zaid ya kulinda waumin wao?

Besides hakuna bandiko lolote kuhusu demokrasia na Utawala mbovu wa Magufuli ambao maaskofu walithubutu kutoa Waraka,kama upo weka hapa tuone
Huu ujinga unaojadili hapa, alishawahi kuja nao mjinga mwenzio The Boss muulize akwambie kilichompata, aliwekewa waraka akaishia kujiuma uma tu kama mtoto, punguzeni ujuha na unafiki.
 
Mafisadi gani!? Hao walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao na mama yako!!?
Btn mmeshindwa kabla hamjaanza
Mtakuja hapa kumpigia saluti Mama Samia pale mapato ya bandari yatakapoongezeka mara kumi chini ya DP World. Kelele zenu nyingi kwa sababu mnajua mlichokuwa mnakifanya pale bandarini. Fyekelea mbali mafisadi.
 
Tunaojielewa kwa sasa tunazililia bandari zetu za Tanganyika zilizotolewa kwa mwarabu, wamepewa milele, hizi kelele zako za 1992 kawatafuteni wajinga huko mbali muwadanganye nazo.
Dunia ya sasa lazima ubia uwepo na mbia anatakiwa mwenye fedha ndio maana unaona hata team za uingereza kina shekhe mansour na wengine wanazimiliki, wewe na kelele zako huko mbande eti hutaki ubia kisa muarabu
 
Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.

Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa,ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.

Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?

During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuz ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake,hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kias kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamiz uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndan ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa,hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha,pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndan ya Taifa hili?

Nin kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Tawala za waisramu siku zote ni hovyo
Maneno mengi vitendio hakuna
 
Mtakuja hapa kumpigia saluti Mama Samia pale mapato ya bandari yatakapoongezeka mara kumi chini ya DP World. Kelele zenu nyingi kwa sababu mnajua mlichokuwa mnakifanya pale bandarini. Fyekelea mbali mafisadi.
Yeye, mbarawa na huyo katibu mkuu ni wazanzibari wawapelekee wazanzibar na waarabu wenzao wawapigie hizo saluti au wao hawataki madolari ya waarabu wenzao na ndugu katika imani licha ya kuuza hadi visiwa.
 
Ishu ya COVID ilikua wazi na kituko Cha dunia,wangefanya nin Zaid ya kulinda waumin wao?

Besides hakuna bandiko lolote kuhusu demokrasia na Utawala mbovu wa Magufuli ambao maaskofu walithubutu kutoa Waraka,kama upo weka hapa tuone

Hebu pitia hapa ujikumbushe kuhusu waraka wa maaskofu juu ya uminywaji wa demokrasia nchini kipindi cha Magufuli.

 
Tawala za waisramu siku zote ni hovyo
Maneno mengi vitendio hakuna
Teh teh teh

Maaskofu kumbe mnapigania Maokoto kama Yale ambayo mlipata kipindi Cha Escrow,hampati kitu safari hii hizo waraka zenu kafungien vitumbua na kiti moto tu
 
Tawala za waisramu siku zote ni hovyo
Maneno mengi vitendio hakuna
Ila hizi tawala za waislamu ndio zinafanya hata mnapata uhuru wa kulalama humu mkishashiba dona, tawala zingine watu hadi mlikimbia nchi hii, mkafutwa kazi bila ya kulipwa mafao, mlivunjiwa nyumba bila ya kulipwa fidia sasahivi ndio mmerudi bado mnarefusha midomo tu uzuri tumewazoea na unafki wenu tatizo kubwa ni uislamu na uarabu hakuna kingine
 
Ila hizi tawala za waislamu ndio zinafanya hata mnapata uhuru wa kulalama humu mkishashiba dona, tawala zingine watu hadi mlikimbia nchi hii, mkafutwa kazi bila ya kulipwa mafao, mlivunjiwa nyumba bila ya kulipwa fidia sasahivi ndio mmerudi bado mnarefusha midomo tu uzuri tumewazoea na unafki wenu tatizo kubwa ni uislamu na uarabu hakuna kingine
Waarabu wapelekeni Zanzibar na sio Tanganyika
 
Back
Top Bottom