"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Nenda kajadili taweed na wapumbavu wenzako, trinity hamtaiweza nyie washika mikia shuleni
Sisi kwetu elimu na uadilifu ni kipaumbele na elimu yetu inaonekana hata viongozi wenu wanatamani uislamu, au hukumbuki yule askofu alitilewa kanisani baada ya kusifia vijana wa kiislamu kwamba ni waaminifu kuliko wakristo.
 
Wewe nani kakuambia mungu ana mtoto??Yani maria awe mama wa mungu?kama unaona suala la maria kupewa miujiza na Allah ya kuzaa bila baba ni jambo la kukufanya umuite yesu mungu,je vip lile na kumuumba Adam out of nowhere Kisha akampulizia pumzi?lipi ni zito Zaid??Je hamtafakari nyinyi wagalatia??
Kati ya Quran na huyo Allah nan alianza nenda kajielimishe kuhusu hiyo tahweed trinity hutaiweza kama ulibondwa kisogo
 
We mtoa mada msimamo wako juu ya kuuzwa kwa bandari ukoje?
Kunaleta afya na ustawi wa watanganyika?
Wapi DP world walipochukua bandari hiyo nchi ilikuwa kiuchumi?
Nan kakueleza bandari inauzwa??

Kwanza umeshausoma mkataba wenyew au unakuwa bendera fuata upepo kama wenzako??

Draft of contract agreement Lin mkataba huo umeshasainiwa??
 
Sisi kwetu elimu na uadilifu ni kipaumbele na elimu yetu inaonekana hata viongozi wenu wanatamani uislamu, au hukumbuki yule askofu alitilewa kanisani baada ya kusifia vijana wa kiislamu kwamba ni waaminifu kuliko wakristo.
Kweli ni kipaumbele ndio maana shule za Zanzibar na za kiislam huwa za mwisho na seminar huwa za kwanza
 
Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.

Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.

Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?

During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?

Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Achana na Udini hauta kusaidia . Umeusahau Waraka kipindi cha JPM?
 
Hawakujibu kwa kuwa hawakuona ubaya wa yaliyokuwa yakitendeka. Siyo kila unachokiona wewe kibaya lazima kila mtu akione hivyo. Kwa mfano suala la sasa la bandari, wao wameliona ni baya lakini kuna wengine wanaliona ni sahihi. Hivyo wametoa maoni yao. Hakuna cha double standards. Mtu atoe maoni kadiri anavyoyaona mwenyewe.
 
Kati ya Quran na huyo Allah nan alianza nenda kajielimishe kuhusu hiyo tahweed trinity hutaiweza kama ulibondwa kisogo

Allah ndie muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo,qur an siyo tuh kitabu Cha kwanza,vilianza vingi huko nyuma ikiwemo Injili,zaburi,torati sema wengi wenu nyinyi ni watu wa kuburuzwa tuh ndiyo maana mnaipinga haki
 
Pumbavu hata tahweed huijui wewe tabla lasa ndio ujadili trinity
 
Weka evidence ya TEC ikimkosoa JPM tuone
Screenshot_20230617-223938.png
 
Hao ni wapumbavu na waza
Friends and Enemies,

In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.

Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.

Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?

During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.

PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.

Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.

Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?

Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Ndiki! Sijawahi kuwaelewa hata kidogo waende kwa bwana zao wa vatican huko wapuuzi hao
 
Hawakujibu kwa kuwa hawakuona ubaya wa yaliyokuwa yakitendeka. Siyo kila unachokiona wewe kibaya lazima kila mtu akione hivyo. Kwa mfano suala la sasa la bandari, wao wameliona ni baya lakini kuna wengine wanaliona ni sahihi. Hivyo wametoa maoni yao. Hakuna cha double standards. Mtu atoe maoni kadiri anavyoyaona mwenyewe.

Hivyo eeh,alipokawa anataka kujiongezea muda wa kuongoza na kuminya demokrasia na kupiga bunduki wapinzani waliona ni sawa tuh siyo,kupora wafanya biashara fedha zao na kufunga accounts zao hawakuona shida katika Hilo siyo
 
Weka evidence ya TEC ikimkosoa JPM tuone
Imkosoe hata kama haioni amefanya vibaya? Siyo suala la kukosoa kiongozi Mkristu kwa kuwa tu hapo awali ilimkosoa Muislamu. Kosoa kitendo chenyewe badala ya kukosoa mtu. Anza na kupima kitendo unakionaje na utoe uamuzi kadiri ulivyokiona.
 
Ndivyo wanavyodanganywa huko makanisani,

Kipindi wanaume wanapigania uhuru wa nchi hii Hilo kanisa lilikuwa upande wa hao wazungu,then wanataka kujifanya Leo Wana uchungu na nchi na waraka zao
Yani ninyi msubiri raisi afe mrithi ndio mnajiona wamiliki wa Tanganyika!?
Kweli ninyi ni matabla lasa
 
Back
Top Bottom