Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Wavaa kobazi huwa si mahasidi wala mafisadi. Siku zote wapo kuwaletea unafuu wa maisha wananchi. Tuliza munkari DP World wapo pale tayari kwa kazi. Ukipenda usipende.Hatuwezi kuweka nchi rehani Kwa wavaa kobazi never;