Sisi kwetu elimu na uadilifu ni kipaumbele na elimu yetu inaonekana hata viongozi wenu wanatamani uislamu, au hukumbuki yule askofu alitilewa kanisani baada ya kusifia vijana wa kiislamu kwamba ni waaminifu kuliko wakristo.Nenda kajadili taweed na wapumbavu wenzako, trinity hamtaiweza nyie washika mikia shuleni
Kati ya Quran na huyo Allah nan alianza nenda kajielimishe kuhusu hiyo tahweed trinity hutaiweza kama ulibondwa kisogoWewe nani kakuambia mungu ana mtoto??Yani maria awe mama wa mungu?kama unaona suala la maria kupewa miujiza na Allah ya kuzaa bila baba ni jambo la kukufanya umuite yesu mungu,je vip lile na kumuumba Adam out of nowhere Kisha akampulizia pumzi?lipi ni zito Zaid??Je hamtafakari nyinyi wagalatia??
Nan kakueleza bandari inauzwa??We mtoa mada msimamo wako juu ya kuuzwa kwa bandari ukoje?
Kunaleta afya na ustawi wa watanganyika?
Wapi DP world walipochukua bandari hiyo nchi ilikuwa kiuchumi?
Kweli ni kipaumbele ndio maana shule za Zanzibar na za kiislam huwa za mwisho na seminar huwa za kwanzaSisi kwetu elimu na uadilifu ni kipaumbele na elimu yetu inaonekana hata viongozi wenu wanatamani uislamu, au hukumbuki yule askofu alitilewa kanisani baada ya kusifia vijana wa kiislamu kwamba ni waaminifu kuliko wakristo.
Achana na Udini hauta kusaidia . Umeusahau Waraka kipindi cha JPM?Friends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.
PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.
Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.
Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?
Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Hawakujibu kwa kuwa hawakuona ubaya wa yaliyokuwa yakitendeka. Siyo kila unachokiona wewe kibaya lazima kila mtu akione hivyo. Kwa mfano suala la sasa la bandari, wao wameliona ni baya lakini kuna wengine wanaliona ni sahihi. Hivyo wametoa maoni yao. Hakuna cha double standards. Mtu atoe maoni kadiri anavyoyaona mwenyewe.Friends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.
PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.
Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.
Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?
Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
Kati ya Quran na huyo Allah nan alianza nenda kajielimishe kuhusu hiyo tahweed trinity hutaiweza kama ulibondwa kisogo
Unateseka ukiwa wapi? Acha huyu mama wa kambo afundishwe uongozi.Watupe majibu hawa PENGO na TEC,kwanin walikuwa mabubu during Benjamin Mkapa and Magufuli Regime??
Pumbavu hata tahweed huijui wewe tabla lasa ndio ujadili trinityAllah ndie muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo,qur an siyo tuh kitabu Cha kwanza,vilianza vingi huko nyuma ikiwemo Injili,zaburi,torati sema wengi wenu nyinyi ni watu wa kuburuzwa tuh ndiyo maana mnaipinga haki
Weka evidence ya TEC ikimkosoa JPM tuone
Ndiki! Sijawahi kuwaelewa hata kidogo waende kwa bwana zao wa vatican huko wapuuzi haoFriends and Enemies,
In order for the criticisms to be valid and acceptable must stand without biasness or manipulation.
Baraza la maaskofu na Cardinal PENGO in particular wamekuwa Kwa miaka mingi sana wakijipambanua kuwa ni Taasis zinazosimama na wananchi na kuwasemea Kwa niaba pale ambapo uongozi wa serikali unapofanya maamuz ambayo Yana ukakasi na yanagusa maslahi ya Taifa, ni jambo zuri na Kwa kias flan linastahili kupongezwa.
Suala ambalo Linazalisha maswali Kwa TEC na PENGO ni kwamba kwanini huwa wanakuwa kimya kwenye Regime zingine za Utawala hasa pale yanapotokea mambo ya ukakasi kwa Taifa pia?
During Benjamin Mkapa Regime tulishuhudia mauaji ya kikatili ya mwembechai,Unibinafsishaji wa mashirika ya umma na kias hata Mkapa mwenyew alikuja kukiri katika kitabu chake kuwa ni miongon mwa maamuzi ya hovyo kuwahi kufanyika katika Utawala wake, hakuonekana PENGO Wala TEC wakitoa kaul wala waraka za aina yoyote.
PENGO na TEC walikuja Kushamiri sana enzi za Regime ya kikwete, kiasi kwamba ilipelekea Kila anachokifanya kikwete kinageuka kuwa bango la waraka zisizoisha wenye macho waliona na bila shaka wenye kumbu kumbu wanakumbuka.
Regime ya JPM ilikua na mabaya na mazuri yake kama vile zilivyokuwa Regime zingine,mfano suala la kuizika demokrasia ndan ya nchi hii na kukandamizi uhuru wa vyombo vya habari na speech, kuminya upinzan kias had kufikia baadhi ya wapinzani kupigwa risasi ndani ya viunga vya bunge na wengine kupewa kesi za uzushi na kufungwa, hatusikia Wala kuona PENGO na TEC wakisimama kuzungumza Wala kutoa Waraka zao.
Sasa kitu kinachofikirisha, pamoja na Nia Yao njema PENGO na TEC Kwa Taifa kwanin wanakuwa selective katika kusimama na wananchi katika REGIME za uongozi ndani ya Taifa hili?
Nini kinawasukuma nyuma ya Criticism zao, uchungu Kwa Taifa lao au Wana ajenda zao za Udini?
We hamnazo kweli! Yaani Tanganyika ni mali ya TEC!? Umefilisika wewe huna hoja.Hamna anayelia kwa sababu ni swala la mda tu Tanganyika itarudi kwa watanganyika. TEC ndio wenye Tanganyika wewe juha
Pengo anatengwa hapa maskini!!Nawe umekuwa mwongo. Kumbukumbu yàngu ni kuwa TEC daima wamekemea maovu katika Awamu zote. Pengo kama yeye alijitokeza kumkumbatia Makonda na Magufuli, not TEC. Refresh your mind!
Hawakujibu kwa kuwa hawakuona ubaya wa yaliyokuwa yakitendeka. Siyo kila unachokiona wewe kibaya lazima kila mtu akione hivyo. Kwa mfano suala la sasa la bandari, wao wameliona ni baya lakini kuna wengine wanaliona ni sahihi. Hivyo wametoa maoni yao. Hakuna cha double standards. Mtu atoe maoni kadiri anavyoyaona mwenyewe.
Ni Mali ya TEC au umejisahulisha kwa sababu wamemuweka huyo mzanzibarWe hamnazo kweli! Yaani Tanganyika ni mali ya TEC!? Umefilisika wewe huna hoja.
Ndivyo wanavyodanganywa huko makanisani,We hamnazo kweli! Yaani Tanganyika ni mali ya TEC!? Umefilisika wewe huna hoja.
You must be kiddingWanatakiwa wajifunze kuwa zama zimebadilika sasa
Imkosoe hata kama haioni amefanya vibaya? Siyo suala la kukosoa kiongozi Mkristu kwa kuwa tu hapo awali ilimkosoa Muislamu. Kosoa kitendo chenyewe badala ya kukosoa mtu. Anza na kupima kitendo unakionaje na utoe uamuzi kadiri ulivyokiona.Weka evidence ya TEC ikimkosoa JPM tuone
Hawa jamaa wa ovyo sana.Ndivyo wanavyodanganywa huko makanisani,
Kipindi wanaume wanapigania uhuru wa nchi hii Hilo kanisa lilikuwa upande wa hao wazungu,then wanataka kujifanya Leo Wana uchungu na nchi na waraka zao
Yani ninyi msubiri raisi afe mrithi ndio mnajiona wamiliki wa Tanganyika!?Ndivyo wanavyodanganywa huko makanisani,