DP World amepata Bandari bila kupingwa

DP World amepata Bandari bila kupingwa

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
 
Attachments

DPW ndiye mshindi wa tenda kwenye uwekezaji wa Bandari yetu.

DPW sio kampuni uchwara ni dude kubwa lenye uwezo na uzoefu mkubwa sana duniani.
Mshindi? Alishindanishwa na Nani?
 
na sisi ndio tumeingia cha kike, kukubali kwamba hakutkauwa na kuvunja mkataba.
 
26c76022e3e448dab0196b9931a2bd42.jpg

Enzi za kina Chief Mangungo hizi
 
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
 
Attachments

  • 9949C15F-7C4D-457D-8D26-754B7606969A.jpeg
    9949C15F-7C4D-457D-8D26-754B7606969A.jpeg
    75.8 KB · Views: 17
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
Kapewa bandari ipi na lini?

Hiyo sheria ua kuuza bandari au ipi?
 
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
katika jambo ambalo sijajihusisha nalo ni hili. nilijua lilishapita
mwambulusi sijui yupo wapii
 
Back
Top Bottom