and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
Kapewa bandari ipi na lini?Kama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?
Yangekuwa yamefichwa wewe ungeyajuwa?kuna siku haya yote yatawekwa wazi na kuna watu watapokea hukumu.
Anna Tibaijuka ana ubavu wa kuongelea maadili? Anafikiri tumesahau kwanini Kikwete alimtemesha uwaziri?
katika jambo ambalo sijajihusisha nalo ni hili. nilijua lilishapitaKama mjuavyo sheria ya manunuzi ya Umma (nimeambatanisha) inataka tenda itangazwe, wachujwe wenye sifa kabla ya kupewa mkataba, Ila haielewek DP World kashindaje hii tenda/deal? Handpicked?