Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hiyo ni biashara tofauti na unayoiwazia wewe. Yenyewe inajieleza “Building materials and products”. Au DP World wanafungua duka la hardware pale bandarini?Naona matangazo mengi ya dp world yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii
Nikikumbuka kauli ya mwisho ya serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo
Nini kinaendelea kwa sasa ?
kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu rais abadirishe baraza la waziri
View attachment 2745027
Siku nyingi ndiyo maana maza soon atakuwa MtwaraNaona matangazo mengi ya dp world yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii
Nikikumbuka kauli ya mwisho ya serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo
Nini kinaendelea kwa sasa ?
kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu rais abadirishe baraza la waziri
View attachment 2745027
Huwa wanaongea tu na hawajui chochoteUsifananishe kanisa katoliki na hayo makanisa ya manabii huko ndio hutojua sadaka zinafanya kazi gani
Na posta inafanyiwa marekebisho makubwa, sasa mzigo mpaka mlangoni kwako.Naona matangazo mengi ya dp world yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii
Nikikumbuka kauli ya mwisho ya serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo
Nini kinaendelea kwa sasa ?
kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu rais abadirishe baraza la waziri
View attachment 2745027
Mtwara kuna shughuli gani mkuuSiku nyingi ndiyo maana maza soon atakuwa Mtwara
DuhNa posta inafanyiwa marekebisho makubwa, sasa mzigo mpaka mlangoni kwako.
Shirika la Posta kushirikiana na Posta ya Falme za Kiarabu
Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.www.jamiiforums.com
Tumia fursa hizo kufanya biashara. Hayo yote ni kwa faida yako, wachana na madalali wa kijinga.
Unashiriki kikamilifu? Maendeleo yanaletwa na nani?Tunataka maendeleo hatutaki maneno.