DP World ameshapewa bandari?

DP World ameshapewa bandari?

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Naona matangazo mengi ya DP World yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii.

Nikikumbuka kauli ya mwisho ya Serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo,

Nini kinaendelea kwa sasa?

Kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu Rais abadilishe baraza la mawaziri

Screenshot_20230822-170726.png
 
Naona matangazo mengi ya dp world yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii

Nikikumbuka kauli ya mwisho ya serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo

Nini kinaendelea kwa sasa ?

kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu rais abadirishe baraza la waziri
View attachment 2745027
Hiyo ni biashara tofauti na unayoiwazia wewe. Yenyewe inajieleza “Building materials and products”. Au DP World wanafungua duka la hardware pale bandarini?
 
Naona matangazo mengi ya dp world yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii

Nikikumbuka kauli ya mwisho ya serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo

Nini kinaendelea kwa sasa ?

kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu rais abadirishe baraza la waziri
View attachment 2745027
Siku nyingi ndiyo maana maza soon atakuwa Mtwara
 
Naona matangazo mengi ya dp world yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii

Nikikumbuka kauli ya mwisho ya serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo

Nini kinaendelea kwa sasa ?

kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu rais abadirishe baraza la waziri
View attachment 2745027
Na posta inafanyiwa marekebisho makubwa, sasa mzigo mpaka mlangoni kwako.

Tumia fursa hizo kufanya biashara. Hayo yote ni kwa faida yako, wachana na madalali wa kijinga.
 
Alipewa siku nyingi sana bado Mbuga zetu nazo atapewa Tuongeze Mapato
 
Bandari, Mbuga ya wanyama na Ardhi hekta kibao na bado anaendelea kupewa vingine....stay tuned...kijana slaa kapewa hapo ardhi coz alionyesha vizuri kumtetea mwarabu ili aje alinde ardhi ya mwarabu vizuri...
 
Back
Top Bottom