Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Naona matangazo mengi ya DP World yakinifikia yakiwa sponsored kwenye mitandao ya kijamii.
Nikikumbuka kauli ya mwisho ya Serikali ni kutokurudi nyuma licha ya vyama vya upinzani kupinga mkataba huo kutekelezwa na pia tumeona waraka wa maaskofu kanisa katoliki TEC kutokuunga mkono mkataba huo,
Nini kinaendelea kwa sasa?
Kumekuwa na ukimya sana sakata hili la bandari ni kama limepoa tangu Rais abadilishe baraza la mawaziri