Wewe kumbe hakuna kitu kabisa.
MoU ilisainiwa Februari 2022.
Mkataba mkuu ulisainiwa October 2022.
Iliyobakia kusainiwa ni mikataba midogo ya utekelezaji, ambayo kimsingi lazima iongozwe na mkataba mkuu.
Naona hapa JF tuna watu wenye uelewa duni sana kwenye mambo mengi.
Baada ya kusaini mkataba mkuu, hakuna mkataba mwingine wowote utakaoletwa bungeni. Hiyo mjkataba midogo ya kisekta itasainuwa kwa siri na itakuwa mikataba ya siri. Hivyo ndivyo mkataba mkuu unavyoeleza. Mkataba huu ndiyo mwongozo mkuu.
Kama hulijui hata hilo, pole sana. Hatuna namna ya kukusaidia, bakia hivyo hivyo, waache wanaoelewa waendelee kupigania ulindwaji wa rasilimali za nchi.