Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli Mkuu, upo sahihi. Nilimnukuu vibaya. Ni 67% sio 97% kama nilivyoandika mwanzo. DP WORLD wakija, bandari itachangia Bajeti ya Nchi kwa 67%Sawa mkuu mm binafsi nilikuwa na doubt hii issue mwanzo after kuangalia Bunge nikatolewa tongo tongo atleast kidogo saivi Niko katikati japo sio sana DP world watupe Tu assurance ya ajira Kwa wazawa wasije wakajazana warabu tupu kitu ambacho kitaua ajira Kwa wazawa
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Dikteta magufuli ndo kawaweka bungeniMngewapa DP world waendeshe bunge sio bandari. Maana bungeni wamejaa vilaza wengi.
Binafsi napendauwekezaji hasa kwenye kwenye haya mashirika yanayo fanya chini ya kiwango kama bandari ila tu mikataba iwe ni win winSalaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 67% katika Bajeti ya Tanzania
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
Kabisa mkuu. Na wanajitahidi kupotosha ili DPW isipewe kandarasi. Ile Bar kula na Wazee itageuka kula na Mwarabu🤣🤣NANYIE WAFANYAKAZI HAPO TPA MLIYOKUWA NA KAUSEMO CHENU
CHA"SISI MSHAHARA UKIINGIA HATUUGUSI"MJIANDAE KISAKOLOJIA
DP WORLD HUYOOOOO.....
Ova
Mkuu issue ya ajira kwa wazawa imekaaje?Ni kweli Mkuu, upo sahihi. Nilimnukuu vibaya. Ni 67% sio 97% kama nilivyoandika mwanzo. DP WORLD wakija, bandari itachangia Bajeti ya Nchi kwa 67%
Kinachobishaniwa ni mkataba uliosainiwa na wala siyo maneno ya kuambiwa au kusikia.Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 67% katika Bajeti ya Tanzania
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
Mkuu hakuna mkataba uliosainiwa hadi muda huu tunaongea. Haya maneno mnayatoa wapi?Kinachobishaniwa ni mkataba uliosainiwa na wala siyo maneno ya kuambiwa au kusikia.
Zaidi sana upande unaounga mkono unasema kuna upotoshaji.
Kuthibitisha upotoshaji ni kwa kuonesha vipengele vyote vya mkataba uliosainiwa. Vinginevyo ni upotoshaji wa upotoshaji.
Wabongo sisi ni wepesi sana kudanganyika sijui ni kwanini !! Sio kuhusu hili suala bali mambo mengi tu !!Mkuu hakuna mkataba uliosainiwa hadi muda huu tunaongea. Haya maneno mnayatoa wapi?
Kwa nini watu wengi wabishane?kilichoridhiwa na bunge ni nini?Mkuu hakuna mkataba uliosainiwa hadi muda huu tunaongea. Haya maneno mnayatoa wapi?
Ungetueleza hayo uliyoyasema yanapatikana katika article zipi katika mkataba ule tulionao sisi.Mkuu naomba unisaidie kujua nilipo potosha na unisaidie kunisahihisha ilinami niwe na huo uelewa ulionao. Wapi nimepotosha? Na usahihi ni upi?
Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 67% katika Bajeti ya Tanzania
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
TRA wanakusanya kama kawaida. Halafu mifumo ilikuwa haisomani sasa inasomana. Ukilipa TRA mtu wa TPA anasoma na ukilipwa TPA mtu wa TRA anasoma. Mzigo ambao haujalipiwa unaonekana, Kontena lilipo linaonekana.Safi sanaa kaka?
Je TRA natumaini wataendelea kukusanya mapato bila vizuizi vyovyote vile vya Mkataba na mapato yataongezeka Si ndio? Au?
Usiturudishe nyuma, huko tumeshatoka na tumemsikia bosi wa Bandari zote.Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 67% katika Bajeti ya Tanzania
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
Kwahiyo?Mkuu, watu wanapotosha, hakuna Mkataba uliojadiliwa. Wakianza kujadili Mkataba ndio wataweka muda. Haya ya sasa ni Maazimio tu ya kufanya biashara ya bandari kati ya Nchi na Nchi. Hata Bunge limepitisha maazimio. Kama maazimip yakikubalika ndipo mikataba sasa inaanza. Yaani hii ni kama barua ya Posa, bado mwali kuolewa.
RUSHWA NI ADUI WA HAKI IEPUKE!Salaam Wakuu,