Bora tumpe muwekeji ili kupunguza upigaji na Ufisadi sababu bandari pamegeuzwa shamba la bibi kila siku uteuzi. Bora apewe muwekezaji sisi tujikite kukusanya mapatoSerikali iachane na huu mradi,watu wanataka waendee kuwa maskini mnalazimisha kuwatoa Ili iwaje? Acha wawe wanalipa gharama kubwa za usafiri,siku za kusubiria na urasimu kama huo.
Majinga yamejaa na yanashabikia upuuzi huku walioanzisha hizo fitina wanawatumia wao kuhakikisha wanaendelea kubaki kula.Bora tumpe muwekeji ili kupunguza upigaji na Ufisadi sababu bandari pamegeuzwa shamba la bibi kila siku uteuzi. Bora apewe muwekezaji sisi tujikite kukusanya mapato
Tatizo umeongea vitu vingi wakati mmoja.Wewe kumbe hakuna kitu kabisa.
MoU ilisainiwa Februari 2022.
Mkataba mkuu ulisainiwa October 2022.
Iliyobakia kusainiwa ni mikataba midogo ya utekelezaji, ambayo kimsingi lazima iongozwe na mkataba mkuu.
Naona hapa JF tuna watu wenye uelewa duni sana kwenye mambo mengi.
Baada ya kusaini mkataba mkuu, hakuna mkataba mwingine wowote utakaoletwa bungeni. Hiyo mjkataba midogo ya kisekta itasainuwa kwa siri na itakuwa mikataba ya siri. Hivyo ndivyo mkataba mkuu unavyoeleza. Mkataba huu ndiyo mwongozo mkuu.
Kama hulijui hata hilo, pole sana. Hatuna namna ya kukusaidia, bakia hivyo hivyo, waache wanaoelewa waendelee kupigania ulindwaji wa rasilimali za nchi.
Matanzania ni majinga yamejaa ujamaa na umaskini Haina haja ya kusumbua kuwatoa wayaache hivyo hivyo ,baba Yao Nyerere aliwaridhisha propaganda na porojoPole sana Mkuu. Wasiwasi ndio akili ila hawa sisi sio wa kwanza, ingia Google uangalia. Hapo Rwanda washatengeneza bandari ya Nchi kavu japo Rwanda haina bahari.
Kagame anataka mizigo kutoka Tanzania na Kenya, Nchi za Burundi, Kongo, Malawi Uganda anawasaidia Uwakala inachukuliwa kwake. So wengi wanampinga DPW Tanzania ni Wanyarwand walio bongo. Sababu wanajua akija Tanzania bandari yao ya Nchi kavu kaina kazi.
View attachment 2658179View attachment 2658180
Tatizo umeongea vitu vingi wakati mmoja.. Memorandum of understanding ndo inaitwa MoU sio Mkataba wa Bandari. Na kilichosaini 25 Oct 2022 ndo tunasema Makubalinao ya haya maazimio yalojadiliwa bungeni kuhusu maswala ya Uwekezaji bandari na mawanda yake ambavyo tunajadili muda huu ambayo yamewekewa ukomo wake wa miezi 12. Kwahiyo ikifika Oct hatujamaliza huu mjadala, utakuwa umekufa na fedha zake anaweza kuamua kuzipeleka Kenya au sehemu nyingine.. DP WORLD anagombaniwa kama mpira wa kona. Tanzania tumepata zali la mentari.Wewe kumbe hakuna kitu kabisa.
MoU ilisainiwa Februari 2022.
Mkataba mkuu ulisainiwa October 2022.
Iliyobakia kusainiwa ni mikataba midogo ya utekelezaji, ambayo kimsingi lazima iongozwe na mkataba mkuu.
Naona hapa JF tuna watu wenye uelewa duni sana kwenye mambo mengi.
Baada ya kusaini mkataba mkuu, hakuna mkataba mwingine wowote utakaoletwa bungeni. Hiyo mjkataba midogo ya kisekta itasainuwa kwa siri na itakuwa mikataba ya siri. Hivyo ndivyo mkataba mkuu unavyoeleza. Mkataba huu ndiyo mwongozo mkuu.
Kama hulijui hata hilo, pole sana. Hatuna namna ya kukusaidia, bakia hivyo hivyo, waache wanaoelewa waendelee kupigania ulindwaji wa rasilimali za nchi.
Mkuu labda kama umefunga akili yako kusikia unachotaka kusikia. Hakuna kitu kinauzwa bali sehemu tu ya bandari ya Dar anapewa Muwekezaji. Nakazia sehemu ndani ya Bandari ya Dar. Wanaosema ni bandari zote watafuta Kiki za kisiasa ili kujenga chuki dhidi ya watendaji, Bunge na kumkosea adabu rais.Wewe ni mtoto mdogo? Kuuza Bandari zote ni kuuza nchi. Hivi slaa na vitu vya hovyo haviwezi kupenyezwa kupitia Bandari na nchi kusambaratishwa? Kuwa CCM ni KAZI sana
Nimekuuliza swala la ajira Kwa wazawa hao Jamaa wameliwekaje??Pamoja sana Mkuu asante kwa kuelewa. Saidia kuelewesha wengine huko uliko
Uongo.Tatizo umeongea vitu vingi wakati mmoja.. Memorandum of understanding ndo inaitwa MoU sio Mkataba wa Bandari. Na kilichosaini 25 Oct 2022 ndo tunasema Makubalinao ya haya maazimio yalojadiliwa bungeni kuhusu maswala ya Uwekezaji bandari na mawanda yake ambavyo tunajadili muda huu ambayo yamewekewa ukomo wake wa miezi 12. Kwahiyo ikifika Oct hatujamaliza huu mjadala, utakuwa umekufa na fedha zake anaweza kuamua kuzipeleka Kenya au sehemu nyingine.. DP WORLD anagombaniwa kama mpira wa kona. Tanzania tumepata zali la mentari.
Ukishaelewa naamini utarudi kufuta hii Komenti yako. Tayari unaonekana kabisa huna ujualo kuhusiana na hayo mambo. Relax jipo muda acha kwenda na Upepo. Hadi sasa hakuna Mktaba wowote uliosainiwa.Shida kubwa ni kwamba hawa watu kutokana na akili yao ndogo ya kushindwa kuutambua hata uduni wa akili zao, wanaamini watu wengine ni wajinga, tena kuuzidi ule ujinga wao, kumbe wanataka kuwadanganya watu watu wanaowazidi akili hata zaidi ya mara 10.
Lakini wajue kuwa siku zote mwenye akili atashinda. Hawa washenzi wa majukwaani na wale mahayawani wa bungeni, wataanguka wao, na umma utashinda.
Mbona kila mtu anasema Mkataba? Jamani Nchi ya Tanzania haijaingia Mkataba wowote hadi hivi sasa kuhusu Bandari. Mbona wagumu kuelewa. Kilichomo ni maazimio ya Uwekezaji bandarini. Je, huo mkataba ulosainiwa mbona hamuuweki hadharani? Unaambiwa agreements sio contract ila kila contract ni agreement. Hiyo contract ipo wapi?Kwa mkataba upi unao refer?
Vipi kuhusu ushuru wa magari utashuka au ndio yale yale ya kodi 110% ya bei ya kuagiza?
Hii haisaidii kitu. Mtadhalilisha watu lakini mwisho wa siku mtagundua ni Ujinga mnafanya. Nashauri mtumie kusema Serikali iongeze au kupunguza nini kwenye makubaliano haya.View attachment 2658365
Kutoka twitter