DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

Mwenyezi Mungu awabariki mama samia, watu wake, wananchi kwa ujumla na wawekezaji especially waarabu wanatupenda sana na wakarimu sana, mwaka huu tutanenepa sana, waabheja sana
Pamoja sana Mkuu. Karibu tena.
 
Ni kweli Mkuu, upo sahihi. Nilimnukuu vibaya. Ni 67% sio 97% kama nilivyoandika mwanzo. DP WORLD wakija, bandari itachangia Bajeti ya Nchi kwa 67%
 
Binafsi napendauwekezaji hasa kwenye kwenye haya mashirika yanayo fanya chini ya kiwango kama bandari ila tu mikataba iwe ni win win
 
NANYIE WAFANYAKAZI HAPO TPA MLIYOKUWA NA KAUSEMO CHENU
CHA"SISI MSHAHARA UKIINGIA HATUUGUSI"MJIANDAE KISAKOLOJIA

DP WORLD HUYOOOOO.....

Ova
Kabisa mkuu. Na wanajitahidi kupotosha ili DPW isipewe kandarasi. Ile Bar kula na Wazee itageuka kula na Mwarabu🤣🤣
 
Kinachobishaniwa ni mkataba uliosainiwa na wala siyo maneno ya kuambiwa au kusikia.
Zaidi sana upande unaounga mkono unasema kuna upotoshaji.
Kuthibitisha upotoshaji ni kwa kuonesha vipengele vyote vya mkataba uliosainiwa. Vinginevyo ni upotoshaji wa upotoshaji.
 
Mkuu hakuna mkataba uliosainiwa hadi muda huu tunaongea. Haya maneno mnayatoa wapi?
 
Mkuu hakuna mkataba uliosainiwa hadi muda huu tunaongea. Haya maneno mnayatoa wapi?
Wabongo sisi ni wepesi sana kudanganyika sijui ni kwanini !! Sio kuhusu hili suala bali mambo mengi tu !!
 
Mkuu hakuna mkataba uliosainiwa hadi muda huu tunaongea. Haya maneno mnayatoa wapi?
Kwa nini watu wengi wabishane?kilichoridhiwa na bunge ni nini?
Au kilichofanyika hadi sasa hivi ni nini?
 
Mkuu naomba unisaidie kujua nilipo potosha na unisaidie kunisahihisha ilinami niwe na huo uelewa ulionao. Wapi nimepotosha? Na usahihi ni upi?
Ungetueleza hayo uliyoyasema yanapatikana katika article zipi katika mkataba ule tulionao sisi.
Maana huenda mkataba ambao tumeusoma sisi ni tofauti na huo ulionao wewe kwakuwa hicho ulichoandika hakijawa reflected katika ule ambao umesambaa kwenye vyanzo mbali mbali vya habari.
 

Safi sanaa kaka?
Je TRA natumaini wataendelea kukusanya mapato bila vizuizi vyovyote vile vya Mkataba na mapato yataongezeka Si ndio? Au?
 
Safi sanaa kaka?
Je TRA natumaini wataendelea kukusanya mapato bila vizuizi vyovyote vile vya Mkataba na mapato yataongezeka Si ndio? Au?
TRA wanakusanya kama kawaida. Halafu mifumo ilikuwa haisomani sasa inasomana. Ukilipa TRA mtu wa TPA anasoma na ukilipwa TPA mtu wa TRA anasoma. Mzigo ambao haujalipiwa unaonekana, Kontena lilipo linaonekana.

Yaani hadi mzigo umafika unapakia ushalipiwa. Serikali anachukua chake kupitia TRA na DP WORLD chao.

Mitambo juu yao mafuta ya kuendesha mitambo juu yao, kufanya kazi saa 24 wao. Sisi Ushuru wa forosha. Sasa hivi tunapata hela lakini inarudi bandarini kutengeneza mitambo na nyingine kununua mafuta ya magari na mitambo. Wakija hawa wanakuja full. Kwanza wana meli za cargo zaidi ya 200. Craine za kisasa kama zote babaake. Yaani raha kwenda mbele. Meli siku moja inapakuliwa inaisha. Craine za kisasa zinatumia Komputa mtu anaendesha kama game tu. Zoom Video uone kazi itakavyo kuwa
Your browser is not able to display this video.
 
Usiturudishe nyuma, huko tumeshatoka na tumemsikia bosi wa Bandari zote.

Kakojoe ulale
 
Kwahiyo?
 
Kwa hiyo calculator ya TRA kuhusu kuingiza magari na kupigwa Kodi mara mbili ya thamani ya gari Ipo pale pale?
 
RUSHWA NI ADUI WA HAKI IEPUKE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…