Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tanzania raha sana, matukio ni mengi, na watu wanakwenda na matukio. Tukio moja lina trend wiki 2 , mwezi, miezi 3 na kubwa sana linachukua miezi 4-6 kisha linazimika.
Issue ya ukodishaji wa bandari za Tanganyika especially Dar es salaam port kwa DP world ilitrend kwa muda mwingi na sasa imetulia tuli.
Wapo waliosema tumegawa bure maana hawakuiona pesa ikiingizwa kwenye account zao au hawakusomewa tarakimu za pesa zilizopokelewa na serikali kutoka DP world.
Ukweli ni kwamba pesa imeingia , tena ya kutosha. Iliingia kabla hata ya kukamilisha mikataba.Imeingia wamegawana kulingana na cheo na ushawishi wa mtu katika jamii.
Sasa wana pesa za kusomesha watoto Cambridge, Oxford n.k Wakimaliza vipindi vyao watoto wao from abroad watakuja kututawala.
Sema Mimi sijapata mgao wa kishika uchumba cha DP world usiseme imetolewa bure.