DP World hawawekezi bandari zote, tusimmezeshe maneno Chongolo!

DP WORLD HAWAWEKEZI BANDARI ZOTE, TUSIMMEZESHE MANENO CHONGOLO!!

Nimeona "clip" iliyotengenezwa na vijana wa CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati wao kupotosha hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwamba DP World itaendesha bandari zote.

SI KWELI: Bali Mhe. Chongolo alikuwa anazungumzia Ilani ya CCM ya 2020 juu Serikali kuboresha utendaji wa Bandari zetu kwa ujumla, na alipozungumzia mkataba wa Bandari na DP World ya Dubai alijielekeza kwenye bandari ya Dar es Salaam tu kama ambavyo "Clip hii halisi" niliyoiambatanisha Twitter
inavyojieleza si ile iliyohaririwa na kuondolewa baadhi ya vipande na Wahafidhina.

Aidha kwa ufafanuzi zaidi; ifahamike agenda ya Uwekezaji kwenye bandari ni agenda ya Chama cha Mapinduzi kwa Serikali yake na ipo kwenye Ilani ya Chama ya mwaka 2020/2025 Sura ya Pili (02), Kipengele cha 59, Ukurasa wa 92 kama inavyoelekeza:

59 (a)

"Kuboresha na kuimarisha utendaji wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

59 (b)

Maboresho ya huduma za bandari za Dar Es Salaam, Tanga, Mtwara, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa.

HATUA YA SASA:

*Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP World zimeingia makubaliano ya uendeshaji, uendelezaji na uboreshaji wa bandari ya Dar Es Salaam ambapo maeneo saba tu yatahusishwa na si bandari nzima:-

1. Kusimamia na kuendeleza gati namba 0, 1-4, 5-7
2. Kuendesha gati la majahazi na abiria
3. Kuendesha na kuendeleza bandari kavu ya Kwala na Kurasini
4. Kuendesha na kuendeleza gati jipya la makontena
5. Kusaidia kutoa mifumo ya kisasa ya TEHAMA
6. Kutoa huduma za kibandari za kisasa
7. Kutoa mafunzo kwa watumishi wa TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) ili kuendesha bandari kwa ufanisi na kisasa

UTARATIBU WA BANDARI ZINGINE:

Utaratibu wa uendelezaji wa bandari zingine utafuata siku za usoni kwa kuzingatia taratibu zitazowekwa kwa mwekezaji yeyote yule mwenye uwezo.

Hivyo wapotoshaji, ni vema wakajikita kwenye kutoa maoni chanya ya kuboresha mkataba na DP World, na sio kuhaha kupotosha umma kujipatia maslahi binafsi.

Binafsi kama mwanachama wa Chama cha Mapinduzi, naisihi Serikali yetu chini ya Rais Dkt Samia kuharakisha utekelezaji wa Mkataba huu ili Watanzania tunufaike mapema. Hawa wanaopinga watatupongeza na kuomba radhi baadae baada ya kuona matokeo makubwa na ya kihistoria bandarini. Maana hata vyama vingi vilikataliwa Tanzania kwa 80%, lakini viliidhinishwa, na leo sote tunafurahia uwepo wake kama nchi ya Kidemokrasia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada-CCM
Julai 16, 2023
Simu: 0717027973

View attachment 2690053View attachment 2690054
Ulishaacha UCHOKO??tuanze na hilo kwanza[emoji1787][emoji1787]
 
NAIBU WAZIRI ATUPELE MWAKIBETE - "DP WORLD ATAWEKEZA BANADARI YA DAR ES SALAAM PEKEE, KUPAKUA NA KUPAKIA SHEHENA"

"Ikumbukwe huyu DP anafanya kazi katika nchi zaidi ya 30 duniani na kwa bara la Afrika anafanya kazi nchi 6 na ana meli zaidi ya 400 maana yake. Na kwenye biashara ya bandari kama unamiliki meli zako ndio unaweza kufanya biashara vizuri" - Mhe. Atupele Mwakibete, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

"Kuna maswali ambayo yanaulizwa na wananchi je (DP WORLD) watakuja kuwekeza bandari zote, jibu ni hapana tutaanza na bandari ya Dar es Salaam tena kwa magati machache na swali lingine wananchi waliuliza je huyo mwekezaji atafanya kazi zote?, jibu ni hapana atafanya kupakia na kupakia shehena pamoja na kuwajengea uwezo wafanyakazi wa bandari ya Dar es Salaam" - Mhe. Atupele Mwakibete, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi
Akibanwa aonyeshe kifungu gani kwenye mkataba kinaongelea hayo aliyoyasema anakimbilia kuomba msaada kwa vijana wa Wambura
 
DP WORLD HAWAWEKEZI BANDARI ZOTE, TUSIMMEZESHE MANENO CHONGOLO!!

Nimeona "clip" iliyotengenezwa na vijana wa CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati wao kupotosha hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwamba DP World itaendesha bandari zote.

SI KWELI: Bali Mhe. Chongolo alikuwa anazungumzia Ilani ya CCM ya 2020 juu Serikali kuboresha utendaji wa Bandari zetu kwa ujumla, na alipozungumzia mkataba wa Bandari na DP World ya Dubai alijielekeza kwenye bandari ya Dar es Salaam tu kama ambavyo "Clip hii halisi" niliyoiambatanisha Twitter

Inavyojieleza si ile iliyohaririwa na kuondolewa baadhi ya vipande na Wahafidhina.

Aidha kwa ufafanuzi zaidi; ifahamike agenda ya Uwekezaji kwenye bandari ni agenda ya Chama cha Mapinduzi kwa Serikali yake na ipo kwenye Ilani ya Chama ya mwaka 2020/2025 Sura ya Pili (02), Kipengele cha 59, Ukurasa wa 92 kama inavyoelekeza:

59 (a)

"Kuboresha na kuimarisha utendaji wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

59 (b)

Maboresho ya huduma za bandari za Dar Es Salaam, Tanga, Mtwara, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa.

HATUA YA SASA:

*Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP World zimeingia makubaliano ya uendeshaji, uendelezaji na uboreshaji wa bandari ya Dar Es Salaam ambapo maeneo saba tu yatahusishwa na si bandari nzima:-

1. Kusimamia na kuendeleza gati namba 0, 1-4, 5-7
2. Kuendesha gati la majahazi na abiria
3. Kuendesha na kuendeleza bandari kavu ya Kwala na Kurasini
4. Kuendesha na kuendeleza gati jipya la makontena
5. Kusaidia kutoa mifumo ya kisasa ya TEHAMA
6. Kutoa huduma za kibandari za kisasa
7. Kutoa mafunzo kwa watumishi wa TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) ili kuendesha bandari kwa ufanisi na kisasa

UTARATIBU WA BANDARI ZINGINE:

Utaratibu wa uendelezaji wa bandari zingine utafuata siku za usoni kwa kuzingatia taratibu zitazowekwa kwa mwekezaji yeyote yule mwenye uwezo.

Hivyo wapotoshaji, ni vema wakajikita kwenye kutoa maoni chanya ya kuboresha mkataba na DP World, na sio kuhaha kupotosha umma kujipatia maslahi binafsi.

Binafsi kama mwanachama wa Chama cha Mapinduzi, naisihi Serikali yetu chini ya Rais Dkt Samia kuharakisha utekelezaji wa Mkataba huu ili Watanzania tunufaike mapema. Hawa wanaopinga watatupongeza na kuomba radhi baadae baada ya kuona matokeo makubwa na ya kihistoria bandarini. Maana hata vyama vingi vilikataliwa Tanzania kwa 80%, lakini viliidhinishwa, na leo sote tunafurahia uwepo wake kama nchi ya Kidemokrasia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada-CCM
Julai 16, 2023
Simu: 0717027973

View attachment 2690053View attachment 2690054
Achana nao hawa Suphian. Hawa wamechanganyikiwa kwa hiyo walichobaki nacho ni kuomoteza maneno na kutengeneza hekaya zao ili kufurahisha genge!
 
Mzunguko wote wa Nini? Kinacholalamikiwa bado hakijibiwi wanajizungusha tu. Yatolewe majibu kwa maswali yafuatayo: Ikiwa mkataba huu ni mzuri, kwa Nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye mkataba? Mkataba huu una ukomo? I bara ya 4(2) inayosema iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi, je, ni halali nchi huru, Tena kwa mali zake ikaombe ridhaa Dubai? Jibuni maswali yenye utata msizunguke.
 
KIFUNGU CHA 2
LENGO LA MKATABA

  1. Madhumuni ya Mkataba huu ni kuweka mfumo wakisheria wa maeneo ya ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, uboreshaji, usimamizi na uendeshaji wa bandari za bahari na maziwa, kanda maalum za kiuchumi, hifadhi za usafirishaji, korido za kibiashara na miundombinu mingine ya kimkakati ya bandari nchini Tanzania. Maeneo ya ushirikiano pia yanajumuisha kujenga uwezo, uhamisho wa ujuzi, utaalam na teknolojia, kuimarisha taasisi za mafunzo na msaada wa utafutaji wa masoko.
 
Hebu kwanza! Ilani ilizungumzia kuboresha Bandari! Nani anapinga? Hakuna. Ila ilani haiongeleii kuhusu mkataba wa kiupuuzi kama wa DP world. Bagonza kaweka suala hili vizuri.

Ila serikali na wapiga porojo ndiyo wanapotosha ati watu hawataki uwekezaji! La hasha kila mtu anakubali ila siyo mkataba ulivyo. Liwe ni suala la TPA na DP World tu. Si la nchi na Bandari zote big no
 
Mzunguko wote wa Nini? Kinacholalamikiwa bado hakijibiwi wanajizungusha tu. Yatolewe majibu kwa maswali yafuatayo: Ikiwa mkataba huu ni mzuri, kwa Nini bandari za Zanzibar hazimo kwenye mkataba? Mkataba huu una ukomo? I bara ya 4(2) inayosema iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi, je, ni halali nchi huru, Tena kwa mali zake ikaombe ridhaa Dubai? Jibuni maswali yenye utata msizunguke.
Charity begins at home! Kama ungekuwa mzuri, wazanzibari wangeupeleka kwao kwanza
 
KIFUNGU CHA 5
HAKI ZA KUENDELEZA, KUSIMAMIA AU KUENDESHA

1. Nchi Wanachama zinakubali kwamba DPW itakuwa na haki ya kipekee ya kuendeleza, kusimamia na/au kuendesha Miradi kama ilivyoainishwa katika Kiambatisho cha 1 Awamu ya 1,
 
Hawa mapoyoyo na mapunguwani wa JF wasikuumize kichwa, wanaelewa sana kila kitu. Tuwachie sisi tuna deal hapa.
Poyoyo na punguani,[emoji56][emoji15][emoji125][emoji125][emoji125]
 
DP WORLD HAWAWEKEZI BANDARI ZOTE, TUSIMMEZESHE MANENO CHONGOLO!!

Nimeona "clip" iliyotengenezwa na vijana wa CHADEMA wakishirikiana na wanaharakati wao kupotosha hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwamba DP World itaendesha bandari zote.

SI KWELI: Bali Mhe. Chongolo alikuwa anazungumzia Ilani ya CCM ya 2020 juu Serikali kuboresha utendaji wa Bandari zetu kwa ujumla, na alipozungumzia mkataba wa Bandari na DP World ya Dubai alijielekeza kwenye bandari ya Dar es Salaam tu kama ambavyo "Clip hii halisi" niliyoiambatanisha Twitter

Inavyojieleza si ile iliyohaririwa na kuondolewa baadhi ya vipande na Wahafidhina.

Aidha kwa ufafanuzi zaidi; ifahamike agenda ya Uwekezaji kwenye bandari ni agenda ya Chama cha Mapinduzi kwa Serikali yake na ipo kwenye Ilani ya Chama ya mwaka 2020/2025 Sura ya Pili (02), Kipengele cha 59, Ukurasa wa 92 kama inavyoelekeza:

59 (a)

"Kuboresha na kuimarisha utendaji wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

59 (b)

Maboresho ya huduma za bandari za Dar Es Salaam, Tanga, Mtwara, Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika na Ziwa Nyasa.

HATUA YA SASA:

*Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP World zimeingia makubaliano ya uendeshaji, uendelezaji na uboreshaji wa bandari ya Dar Es Salaam ambapo maeneo saba tu yatahusishwa na si bandari nzima:-

1. Kusimamia na kuendeleza gati namba 0, 1-4, 5-7
2. Kuendesha gati la majahazi na abiria
3. Kuendesha na kuendeleza bandari kavu ya Kwala na Kurasini
4. Kuendesha na kuendeleza gati jipya la makontena
5. Kusaidia kutoa mifumo ya kisasa ya TEHAMA
6. Kutoa huduma za kibandari za kisasa
7. Kutoa mafunzo kwa watumishi wa TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) ili kuendesha bandari kwa ufanisi na kisasa

UTARATIBU WA BANDARI ZINGINE:

Utaratibu wa uendelezaji wa bandari zingine utafuata siku za usoni kwa kuzingatia taratibu zitazowekwa kwa mwekezaji yeyote yule mwenye uwezo.

Hivyo wapotoshaji, ni vema wakajikita kwenye kutoa maoni chanya ya kuboresha mkataba na DP World, na sio kuhaha kupotosha umma kujipatia maslahi binafsi.

Binafsi kama mwanachama wa Chama cha Mapinduzi, naisihi Serikali yetu chini ya Rais Dkt Samia kuharakisha utekelezaji wa Mkataba huu ili Watanzania tunufaike mapema. Hawa wanaopinga watatupongeza na kuomba radhi baadae baada ya kuona matokeo makubwa na ya kihistoria bandarini. Maana hata vyama vingi vilikataliwa Tanzania kwa 80%, lakini viliidhinishwa, na leo sote tunafurahia uwepo wake kama nchi ya Kidemokrasia.

KAZI IENDELEE!!

Suphian Juma Nkuwi,
Kada-CCM
Julai 16, 2023
Simu: 0717027973

View attachment 2690053View attachment 2690054
Sawa uzushi lakini mkataba wa IGA umesema kuwa bandari zote za bahari na maziwa
 
Back
Top Bottom