DP World hawawekezi bandari zote, tusimmezeshe maneno Chongolo!

Nawasiwasi kuwa ccm inafungu inalipata kutokana na mkata huu.
 
Sasa kama hawawekezi bandari zote ule mkataba wenye vifungu vinavyoonesha watakua na haki pekee kuwekeza na kuendesha bandari zote kwenye bahari maziwa na mito vinafanya nini kwenye ule mkataba? Halafu unakuta chawa anadai wanaopinga DPW wamehongwa. Waliyohongwa ni hawa wanaotaka kuuza nchi kwa Dubai.
 
Ila hongo mbaya san 🤣🤣🤣piga ua lazima ujitoe akili tu!! No way out
Nyie mnajidai mnaakili, wewe hujawahi kuitumia bandari toka kuzaliwa. Mie nna uhakika hata harufu yake huijuwi. Halafu leo unataka kuongelea bandari?
 
Nyie mnajidai mnaakili, wewe hujawahi kuitumia bandari toka kuzaliwa. Mie nna uhakika hata harufu yake huijuwi. Halafu leo unataka kuongelea bandari?
Sio lazima aitumie, wewe na mafisadi wenzako mkiitumia kusafirisha nyara na mali za wizi inatosha
 
Wewe wakala? Wasira anauliza.
Mimi ni Mtanganyika mzalendo.
Wewe na genge lako ni wasaliti na mafisadi wa nchi hii.

Mmetengeneza genge la kuitafuna nchi hii...hufai wewe bibi
 
Saiz biashara zingine hazifanyiki,

Airtime zote zimeelekezwa bandarini,

Kubalini yaishe.

Maana HASARA ni kubwa kuliko RUSHWA walohongwa Wachache.

Tusubiri.
 
NO KWELI HAWAWEKEZI BANDARI ZOTE... WANAWEKEZA BANDARI ZOTE ZA TANGANYIKA ISIPOKUA ZENJI PEKEE
 
Mimi ni Mtanganyika mzalendo.
Wewe na genge lako ni wasaliti na mafisadi wa nchi hii.

Mmetengeneza genge la kuitafuna nchi hii...hufai wewe bibi
Wagawe uwatale - Mzee Rukhsa

Kaandika kuhusu hilo kwenye kitabu chake, nakushauri kisome kitabu cha Mtanganyika mzalendo huyo Aliyekubalika kwanza visiwani halafu akaja kukubalika kote, bara na pwani na visiwani.

Unamfahamu?
 
Yule aliyekiri kuwa alikosea kuimega Tanganyika (Loliondo) na kuwauzia Waarabu?
 
Yule aliyekiri kuwa alikosea kuimega Tanganyika (Loliondo) na kuwauzia Waarabu?
Kwanza umuongo, alilisema wapi hilo? Nukuu.

Si Mtanganyika yule? Swali ndiyo hilo.

Aliyewapa Kilimanjaro Hotel Waarabu alikuwa nani?

Unamfahamu Sihaba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…