Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Samia kauza mali za Tanganyika. Kauza bandari na Ngorongoro kwa Waarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natambua Watanzania wengi wana hamu kubwa kusikia mapungufu yalitopo ndani yake kuliko sifa zilizosheheni katika mkataba husika. Wengi wana mashaka kuhusu usiri, vifungu vyenye mitego ama hila mbaya, na pia uharaka wa kufanya maamuzi makubwa bila ushiriki wa wadau wengi katika suala zima la uendeshaji wa bandari za Tanzania Bara.Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
View attachment 2661201View attachment 2661204
Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha hukuwekea hoja zangu elimishi, na kukuachia fursa wewe, utoe majibu yako.
Leo naendelea na mada ya wiki iliyopita kuhusu makubaliano ya kiserikali, IGA ambapo Bunge letu limeridhia makubaliano ya IGA kati ya Serikali yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kutuendeshea Bandari ombalo ni jambo zuri, lakini bado kuna kelele nyingi za huku na kule, kelele nyingine ni kelele za kijinga tuu kwa watu kutokujua, IGA ni nini, na HGA ni nini, hivyo swali la leo ni "Hili la Mkataba na kampuni ya DPW kutuendeshea bandari zetu, hizi kelele, kulalamika, shutuma, na lawama ni za kweli?, are they justified?, au ni kelele tuu za ujinga tuu wa kutojua sheria na mikataba?. Mhusika mkuu wa kelele hizi, kulalamikiwa huku, shutuma hizi na kutwishwa lawama ni Rais Samia!, Je Rais Samia, anastahili kulaumiwa au kupongezwa?.
Kiukweli jambo hili la DPW na serikali yetu, limefika hapa lilipofika kwa udhaifu tuu wa kitengo cha mawasiliano serikalini kushindwa kutimiza wajibu wake kikamilifu kwa kutokuwa proactive na badala yake kinakuwa reactive when the cat is already out of basket!, sina uhakika kama ni udhaifu wa uongozi, lack of vision, uwezo duni wa communicators wetu kwenye technical issues kama hii ya mikataba, au ni lack of resources kuendesha vipindi vya public information programs kuwaemisha Watanzania.
Sasa kwa vile na mimi mwandishi wako wa makala hizi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, na ninauwezo wa kuelimisha umma, baada ya kuona serikali yetu imeshindwa kwenye hili, uzalendo umenituma kujitokeza kujitolea kuelimisha umma kidogo kuhusu IGA na HGA, kwa kuwasisitiza Watanzania wenzangu, kwanza tupunguze kelele, kupotosha na kulaumu, kwa vitu ambavyo hatuvijui kwa undani.
Kwenye hili la DPW na Bandari, kiukweli kabisa, Rais Samia anastahili pongezi za dhati na sio lawama!, IGA na DPW ni Makubaliano Tuu Sio Mkataba, Mkataba ni HGA!. ila kabla ya kwenda huko tuanze na jambo kuu la kwanza la msingi kabisa ni utendaji wa Bandari zetu na uwezo wetu wa uendeshaji, ni mdogo, hivyo tunahitaji usaidizi.
Jambo la pili kubwa na la msingi sana ni nia njema ya dhati na dhamira safi ya Rais wetu Mama Samia, kulisaidia taifa letu kutoka hapa tulipo, tuweze kusonga mbele kimaendeleo, na kufika kule tulikopaswa kuwa. Maadam Mama Samia ana nia njema na dhamira safi, naomba tuendelee kumuunga mkono kwa dhati na kumsupport ili kutimiza nia hiyo.
Ila katika utekelezaji nia njema hiyo, ndipo kwenye matatizo, kuanzia matatizo makubwa ya msingi ya kisheria, hadi matatizo madogo madogo ya uelewa finyu na tafsiri potofu za hapa na pale, ambayo hayamuhusu kabisa Rais Samia, lakini kwa vile mkubwa ni jalala, kila kitu anatupiwa yeye!, wakati matatizo mengine wala hayamhusu kabisa yeye kama Samia, ila kwa vile yeye ndio kichwa cha nchi, ndio nembo yetu, hawezi kukwepa kuhusishwa na kutajwa tajwa mara ni Mzanzibari, mara anauza nchi, mara hivi mara vile, huu ni ujinga mtupu!.
Nichukue fursa hii kuendelea kumpongeza rais wetu Mama Samia, kwa kuendelea kuwa na ngozi ngumu!, maana kuna vitu vinasemwa, ikijiuliza kama angekuwa ni Magufuli, vingesemwa?. Hata huo mkataba wa IGA, tungeuona?, hata huko Bungeni ungepelekwa?. Mnyonge tumnyongeni jamani, haki yake mpeni!, kwenye hili la kupeleka mkataba huu wa IGA kuridhiwa na Bunge, ni jambo jema linalo stahili pongezi za dhati.
Sasa tuje kwenye hili la IGA na HGA. Hapa Watanzania wanahitaji kuelimishwa hii IGA ni nini na HGA ni nini ? kazi ambayo ingefanywa kikamilifu na kitengo cha mawasiliano serikalini, tusingefika hapa tulipofika!.
IGA ni neno la Kiingereza linaloitwa Inter Governmental Agreement, IGA ni makubaliano kati ya nchi na nchi sio mkataba wa contract, ni mkataba wa makubaliano, ambao kwa kiingereza unaitwa MoU, (memorandum of understanding) kati ya serikali yetu na serikali ya Dubai kuingia mkataba wa kimataifa wa ushirikiano. Mkataba wenyewe wa ushirikiano ndio unaitwa HGA yaani Host Government Agreement, huu ndio mkataba. Kila mkataba ni makubaliano ila sio kila makubaliano ni mkataba.
Kitu kilichojadiliwa na kuridhiwa na Bunge letu ni IGA na sio HGA, hivyo hata ikithibitika pasipo shaka kuwa kuna mambo bado hayajakaa sawa kwenye makubaliano hayo ya IGA, mambo hayo yatarekebishwa kabla ya kuingia mkataba wa HGA na serikali yetu, hivyo Tanzania kufaidika kwa kuboreshewa Bandari zetu, na mwekezaji DPW kufaidika kwa kuvuna mapato halali kwa uwekezaji wake hivyo wote wawili kufaidika kwa kufikia hali inayoitwa a win win situation na Tanzania kama nchi nchi kufaidika.
Japo serikali yetu ina watendaji wazuri wa kusimamia maslahi ya taifa, lakini huku nje mitaani kuna kuwa watu wazuri tuu wenye uwezo mkubwa tuu wa kuisaidia nchi yetu na serikali yetu pengine kuliko hata hao waliopo serikalini, hoja za watu hawa zisikilizwe na kutathminiwa kama zina mashiko na manufaa zijumuishwe ili tupate mkataba mzuri wa HGA.
Hivyo naomba kutoa wito, kila Mtanzania mwenye uelewa na ushauri mzuri wa kusaidia, ajitokeze, atoe ushauri, wa namna bora ya kuiboresha HGA inayokuja na kuiomba serikali yetu iwe sikivu kupokea michango chanya, tutaisaidia sana serikali yetu, tutamsaidia sana Rais wetu Samia na kulisaidia taifa letu Tanzania.
Naendelea kusisitiza Rais wetu, Mama Samia, ana nia njema ya kweli na ya dhati kulisaidia taifa letu, tumuunge mkono tukiwemo sisi watu wa Mhimili wa Nne, the media, tuna wajibu wa kulisaidia taifa letu kwa kuhabarisha taarifa sahihi na kuelimisha maeneo yenye ukakasi kwenye hii IGA ili hivyo vipengele kakasi vya IGA viboreshwe kwenye HGA ili hii kazi nzuri ya Mama Samia iendelee!.
Kwa upande wangu mimi kama nilivyosema, licha ya kuwa ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, kwa kujitolea kutetea bure haki kwa wasio na uwezo, hivyo wiki ijayo nitawachambulia hii IGA kisheria kwa kuwaonyeshea maeneo yenye ukakasi wa kisheria.
Kwa vile Rais Samia ana nia njema ya dhati kuisaidia nchi yetu, wasaidizi wa rais na sisi Watanzania wengine wote tuna wajibu wa kumsaidia rais wetu na kulisaidia taifa letu kama makala hizi zinachofanya na huu ndio uzalendo wa kweli wa mtu kwa taifa lake.
Wasalaam
Paskali.
Paschal Mayala(Nzala)umeandika vizuri kwani umepongeza Sana. Tuanzie hapa.Wanabodi,

nimesoma mkala yako, kwa uweledi mkubwa kama mtanzania,Wanabodi,

Pascal umeanza nsha zako badala ya kusoma gap kwanza!! Anyway Bi Faizafoxy anakuja na ufafanuzi juu ya hili!!Wanabodi,

Hapa kama kuna kaukweli furani mkuu 😂😂La bandari walalamikaje wengi ni wale waliokuwa wanatumia bandari yetu kupitisha magendo yao ikiwemo madawa ya kulevya, waliokwepa kulipa kodi, waliokuwa wanapiga madili kwa kuiba vifaa vya magari yaliopo bandarini na vitu vingine vilivyopo hapo.
Unakuta mtu anaagiza mzigo China afu ukifika hapo unatolewa kupitia gate la uwani na baadae mtoaji anapozwa huko mtaani na mwenye mzigo afu serikali inakosa mapato.
Hii naifananisha na mfanyakazi anaekuibia dukani kwako afu ukileta mtu mungine asimamie pesa za mauzo, mfanye kazi huyo aingie mtaani na kuanza kulalamika na kukuchafua kisa umezuia wizi wake aliokuwa anautumia kujineemesha kupitia duka lako.
Wengine ni wale nyumbu na misukule ya wanasiasa fulan wanaotumiwa kwa sababu mbali mbali zikiwemo za kisiasa, huku wanasiasa hao wakiwa wameshahongwa na wale wanaonufaika na mfumo mbovu wa bandari uliyopo nk.
Nashauri raisi asilegeze kamba, maana itakuwa ni sawa na kumpa ushindi adui anaepanga kukuangamiza kupitia gharama zako mwenyewe.
Vita vya panzi furaha kwa kunguru. Hii vita inampa furaha Mkenya ambae anatamani Tanzania iendelee kuwa na mfumo huu huu mbovu ili bandari yao ya Mombasa iendelee kuonekana bora katika ukanda mzima wa Africa Mashariki.
Hata mimi huwa simwelewi huyu Jamaa kiukweli
napata wakati mgumu sana Juu yake
Utadhani anafukuzia teuzi
ama analipwa kwa haya ayafanyo!
Even though kama Mtz wa kawaida ana haki ya kuongea ila bora kujitafakari sana hasa katika kipindi hichi!
Kukaa kimya kutaepusha mengi kuliko kusifia ujinga!
Kaka Paskali mbona unajiaibisha? IGA ni kati ya JMT na Dubai kwa sababu IGA ni kati ya nchi moja na nchi nyingine. Kwa vile DPW sio nchi haina status ya kuingia katika IGA.
IGA sio MoU. Ni mkataba na unafunga pande zote zilizoisaini. Katika IGA imetajwa MoU iliyoingiwa kati ya TPA na DPW tarehe 28 Februari nchini Dubai wakati wa ziara ya Mheshimiwa Rais ( uk.4). Hiyo MoU imekamilishwa na huu mkataba wa IGA.
HGA haiwezi kuboresha IGA kwa sababu tu IGA ndio msingi wa HGA. Hauwezi kuboronga msingi halafu ukasema utaurekebisha wakati unafunga umeme kwenye nyumba. Nafasi ya mwisho ya kuirekebisha IGA ilikuwa kabla ya kupitishwa na Bunge. Bunge ndio lingeweza kuirudisha IGA serikalini na kuwaagiza wairekebishe kabla hawajaileta tena Bungeni. Kwa vile Bunge halikuona umuhimu wa kufanya hivyo ndio basi imetoka.
Maeneo yenye ukakasi yaliisha ainishwa na wengi kabla ya Bunge kupitishwa. Lakini mlitia pamba masikioni na baadhi yenu wakajibu kwa matusi badala ya kuangalia hoja zilizoletwa.
Mwisho, nasisitiza kuwa muda wa kurekebisha IGA umepita. Kusema kuwa utatoa mawazo ya namna ya kuirekebisha kwa kupitia HGA kunatufanya tutilie shaka huo uwakili wako.
Amandla...
tunaeleza ujinga ulijikita kama taifa kwenye kuingia mikataba ya kipuuzi, ndio maana tunasema bandari imeuzwa, hatumuzuii kutumia mamlaka yake kufanya atakavyo kama alivyo saini hiyo mikataba, ila kama watanzania tuna haki kutoa mchango wetu wa kimawazo na kitafiti kueleza hayoUzuri hakuna anayeweza zuia isitekelezwe
Let me also declare interest, am an entrepreneur specialist and writing a hand-on text in entrepreneurship and I have my intellectual properties which characterizes why business fail and possible solutions and also, entrepreneurial ecosystem for reflective practice. Swali fikirikirishi kwanini wabunge wa CCM, walilipigia chapuo jambo hili na kelele kwa mwelekeo chanya,wakati liko kwenye utaratibu wa IGA (in a positive way) na kuzuia watu wengine wasilijadili eti wao ndiyo mwisho wa kufikiri kwa wa Tnzania. je wengine hawana haki ya kutoa mawazo?. Kwa taarifa yako biashara nyingi zinakufa siyo kwasababu watu hawana elimu ya ujasriamali hata wenye elimu hiyo biashara zimekufa, na zimekufa kwasababu ya (uncertainty and uncertainty inherent) kushindwa kukabiliana na usiyoyatarajia kwenye biashara mfano corona, (covid-19), lakini sehemu kubwa kwasisi nchi zinazoendelea maamuzi ya kisiasa ndiyo yanaua biashara kwasababu mengi hatuyatarajii, sera ambazo wabunge hao hao wanazipisha bila kuju madhara yatakayotokea baade, (the aftermath of policies to be implented), pia teknologia inavyobadirika wale amabao hawawezi kwenda na kasi hiyo inasababisha biashara zipate msukosuko mfano wewe unapokuwa unasubiria mteja aje kwenye biashara yako mwingine hela ishaingia kwenye account, (networking).Wanabodi,