DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾




Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:

Hi

Jina langu ni Amna Ghanem.

Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.

Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.

Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.

Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.


Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha. Makontena kama anacheza video game👇🏾




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Mbona hamna amani? Si mshapewa idhini na mmewapa kila kitu sasa unahangaika nini?

Hivi wanawake waliopita menopause hupata joto pia?

Imagine asubuhi yote hii umeamka na DP world kulikoni? Si mlipitisha azimio kwa kishindo kipi kinakuwasha tena?

Afterall huyo unaempambania yakiharibika hana cha kupoteza atakimbilia kwao Oman wewe utaenda sagika kula mbilimbi Maneromango uko hovyo sana!
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha. Makontena kama anacheza video game👇🏾




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.


Bi Mkubwa hamna mpingaji mkisahihishwa siyo kuwa mnapingw, mnapewa challlenge mfanye vizuri zaidi.

Hii kampuni inaeleweka sana, no disputing, don’t bring a wedge kwenye itikadi na imani, sote tunaijua Dubai, it is a modern city na uendeshaji wake ni western oriented, kwa hiyo siyo kitu kigenI. Dubai hakuna mafuta na Ndiyo maana wana flamboyantly Emirate Airways, DP World; etc etc
 
Nakubembeleza univutie kitengoni tule wote mema ya nchi unaniringia.
Haina noma lakini, maana naona umeona niendelee kubaki huku Bangui.
Wahi mapema kutafuta kazi DP World, inalipa. Ingia hapa👇🏾



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Wahi mapema kutafuta kazi DP World, inalipa. Ingia hapa👇🏾



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Naona umekomaa na utumwa
 
Na itishe tu, ila huo upumbavu uishie hukohuko
DP World wapo Dar, sasa hivi wameshaanza kuweka sawa mifumo ya TEHAMA.

Unafahamu kuwa Dubai ndiyo nchi iliyoanzisha kitu kinaitwa E Government kwa asilimia kubwa na mafanikio makubwa duniani? Wanatisha kiteknolojia.

Sasa wanauleta ujuzi wao Tanzania kwa kishindo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
DP World wapo Dar, sasa hivibwameshaanza kuwrka sawa. Mifumo ya TEHAMA.

Unafahamu kuwa Dubai ndiyo nchi iliyoanzisha kitu kinaitwa E Government kwa asilimia kubwa na mafanikio makubwa duniani? Wanatisha kiteknolojia.

Sasa wanauleta ujuzi wao Tanzania kwa kishindo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Weka pdf la mkataba hapa, kila mtu asome yaliyomo
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾




Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Kwa Wataalamu wetu wa IT/Computer ENGINEERING hawana uwezo wa kufanya hizo kazi za huyo Dada?

Na kweli bajeti zetu Hazina uwezo wa kuanza ku deploy hizo equipment bandarini kwetu kidogo kidogo mpaka tukapata seti nzima ya mitambo?

Msukuma alisema hakuna watu, na ni mtu mmoja alikuwa anaendesha bandari lakini kwenye Clip nimeona wadada zaidi ya Wawili. Au wengine ni wapika chai?? Haha haaaaa!

Credibility inalindwa !
 
Back
Top Bottom