FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #21
Jiulize kwanini hatukuweza Kufanya miaka yote?Kwa Wataalamu wetu wa IT/Computer ENGINEERING hawana uwezo wa kufanya hizo kazi za huyo Dada?
Na kweli bajeti zetu Hazina uwezo wa kuanza ku deploy hizo equipment bandarini kwetu kidogo kidogo mpaka tukapata seti nzima ya mitambo?
Msukuma alisema hakuna watu, na ni mtu mmoja alikuwa anaendesha bandari lakini kwenye Clip nimeona wadada zaidi ya Wawili. Au wengine ni wapika chai?? Haha haaaaa!
Credibility inalindwa !
Tunaweza sana kuyafanya yote hayo, lakini wizi na ubadhirifu unatufanya tusifanye.
Hao mabinti unawaona kabisa ni wanafunzi wa kazi. Kama huoni basi hujamsikia hata Fatma Ghanem hapo akielezea?
Wewe itakuwa katika wale ambao macho mnayo lakini hayaoni, masikio mnayo kakini hayasikii.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.