Hapa kinachogomba sio miaka ya uwekezaji wala kiasi kilichowekezwa, kinachogomba ni vipengele vya kinyonyaji vilivyopo kwenye ule mkataba, huwezi kututoa sadaka na bandari zetu zote wabara za bahari na maziwa, kwa wajomba tena kwa muda usio na kikomo tukae kimya tu, sisi sio wajinga.
Article 23 ya ule mkataba inazungumzia duration, niambie wameweka miaka mingapi pale mpaka mwisho wa mkataba?
"ule mkataba" unaoungolea ndiyo upi?
Nnaamini unauonglea mkataba uliojadiliwa bungeni, au siyo?
Kama ni huo uliojadiliwa bungeni, elewa kuwa huo siyo mkataba wa uendeshaji bandari. Umebugii.
Tuoneshe mkataba wa uendeshaji bandari kama unao.
Mbona hilo limeelelezwa na waziri Mbarawa, limeelewa na Spika wa bunge, limeelezwa na naibu spika ws bunge, limeelezaa na Mwenyekiti wa kamati iliyoundwa kuupitia.
Na wote wametoa maoni na ushauri wao, na waziri Mbarawa kwa niaba ya serikali, amesema ushauri wote walioutowa utazingatiwa katika mikataba ya kuendesha bandari.
Halafu huo mkataba unaousoma, usome kipebgele cha 20 ukiri hapa kinasema nini.
Tunafshamu kinachowauma, Mwigulu kakisema alivyokuwa anahitimisha bajeti ya wizara ya fedha. Umesahau?
Kama hiyo haitoshi, mama Samia kila siku "anakumbusha kazi iendelee". Unaelewa kazi zipi?
Mwendazake, aliamuwa kibabe miradi yote mikubwa wapewe Waislam waiendeshe, akaanza kwa kuwapa Waturuki wajenge reli ya mwendo kasi. Ambapo tayari Kikwete alikuwa na Maelewano na Wachina, akapiga chini hayo maelewano kibabe.
Akawapa Bwawa la kufulia umeme aliloliita la bwawa la Nyerere, ambalo Kikwete tayari alikuwa na maelewano ya awali na Brazil, mwendazake
akapiga chini hayo maelewano kibabe.
Na mama Samia kawatowa kibabe shirika kubwa la kuendesha bandari duniani, waliokuwa wamilikiwa TICTS, kakubaliana na WAISLAM waje waendeshe bandari zetu.
Kama unatumia akili yako vizuri na hauna laana ya ubaguzi utaelewa kwanini.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.