DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾

Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:

Hi

Jina langu ni Amna Ghanem.

Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.

Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.

Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.

Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.

Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Wewe bibi bado humjinga nani alikwambia kuna mtu ana shaka na uwezo wa DP? Hoja hapa ni DP kukabidhiwa bandari zetu milele hadi atakapo rudi mtume
 
Nnauhakika umedanganywa ukadanganyika.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
DP World wapo Dar, sasa hivi wameshaanza kuweka sawa mifumo ya TEHAMA.

Unafahamu kuwa Dubai ndiyo nchi iliyoanzisha kitu kinaitwa E Government kwa asilimia kubwa na mafanikio makubwa duniani? Wanatisha kiteknolojia.

Sasa wanauleta ujuzi wao Tanzania kwa kishindo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Eti Dubai ni nchi! Nilidhani sa100 alikosea kumbe ni ccm wote!
 
Swali kwako mtukufu, muwekezaje yeye anapata faida? Naomba kufahamu
Of course ni lazima. Apate faida, hawezi kuwekeza kama hakuna faida. Hii ni win win win win situation.

Faida kwa. Mwekezaji faida kwa serikali, faida kwa wateja (wengi wao wafanya biashara), faida kwa wafanyakazi.

Hasara kwa wapiga dili, hasara kwa wale waliokuwa wanapata exemptions kibabe.

Mama anaupiga mwingi.
 
Wahi mapema kutafuta kazi DP World, inalipa. Ingia hapa👇🏾

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
FaizaFoxy alias Shabiki Maandazi ! Unajishaua na kujidai kama wewe ndio agent wa DP World.

Mjinga kweli wewe mfitini na mfia dini katika masuala ambayo hata hayana uhusiano na dini yako.

Acha kupandikiza chuki na chokochoko za kidini pumbafu wewe!
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾

Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:

Hi

Jina langu ni Amna Ghanem.

Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.

Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.

Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.

Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.

Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Kazi za samaleko hizo nani anazitaka. Tunawajua.
 
FaizaFoxy alias Shabiki Maandazi ! Unajishaua na kujidai kama wewe ndio agent wa DP World.

Mjinga kweli wewe mfitini na mfia dini katika masuala ambayo hata hayana uhusiano na dini yako.

Acha kupandikiza chuki na chokochoko za kidini pumbafu wewe!
Waislamu hawajawahi kuacha Udini, jaribu kwenda chuo cha mum, linganisha na St Augustine , mtu wa imani yoyote anasoma bila kuhisi shinikizo lolote la kisimani.
 
Naona mnatumia nguvu nyingi raia hawataki huo mkataba wa kimangungo.
 
Kazi za samaleko hizo nani anazitaka. Tunawajua.
Wanaajiri kutoka mstaifa 160 duniani.

Ukiwa japo na chembe chembe za laana ya ubaguzi hapakufai.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Back
Top Bottom