TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hizo 60% zinaingia kwa utaratibu upi? Si mmesema mikataba bado? Hiyo estimate mnaipataje?Kwa mujibu wa Waziri Mbarawa tunategemea kuingiza zaidi ya asilimia 60 ya bajeti yetu.
Kumbuka haya maswali ni kwa ajili ya kuhakikisha kila mtanzania anajua umuhimu wa kuiunga mkono serikali kwa jambo ambalo analielewa. Kwa ufupi maswali haya ni kwa nia njema.