DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

Sasa hivi bandari zetu zinachangia 30%ya bajeti yetu, kwa haraka bansqri ya Dar ndiyo inachabgia 90% ya hizo. Inategemewa kyibgeza kioato zaidi ya 100% baada ya mwaka mmoja tu wa mwanzo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Unatia kinyaa.
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾

Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:

Hi

Jina langu ni Amna Ghanem.

Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.

Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.

Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.

Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.

Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Naona sasa hiv mmecharuka. Mmelipwa bei gani
 
Naona sasa hiv mmecharuka. Mmelipwa bei gani
Malipo mema ni kuwa huru kwenye nafsi na mawazo kuwa unafanya jambo bila chembe ya chuki wala laana ya ubaguzi.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Malipo nema ni kuwa huru kwenye nafsi na mawazo kuwa unafanya jambo bila chembe ya chuki wala laana ya ubaguzi.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mi biashara yangu kubwa ni za bandar Mara nyingi nipo nsalaala Dubai na Singapore. Cna ubaguz na cjawah kumbagua mtu. Mi shida yangu ni mkataba tu. Mi hata kesho ungeniambia nikuambia wapewe ila kwa mkataba upi ndio tunatofautiana
 
Kwani umeuona mkataba wa uendeshaji bandari? Mimi sijauona.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kwani umeuona mkataba wa uendeshaji bandari? Mimi sijauona.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mi nimeuona na nimeuprint out. Mi Mama namkubali shida ni hizo condition na terms za mkataba na usisahau alisaini mikataba 17 pale Dubai huu ni mmoja tu.
 
Hii Fox hakuna sehemu tumeshakuwa in common. Halafu ukiona anatetea kwa uzoefu wangu kwake ujue hiyo kitu ina mlengo fulaniwa wasiojulikana
 
Mi nimeuona na nimeuprint out. Mi Mama namkubali shida ni hizo condition na terms za mkataba na usisahau alisaini mikataba 17 pale Dubai huu ni mmoja tu.
Uweke hapa kiukamili wake, tuuone.

Tuwekee na hiyo 17 unayoisema.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hii Fox hakuna sehemu tumeshakuwa in common. Halafu ukiona anatetea kwa uzoefu wangu kwake ujue hiyo kitu ina mlengo fulaniwa wasiojulikana
Kila mmoja wetu ana haki ya kufikiri wapendavyo na ana uhuru wa maoni yake. Siyo lazima wote tukubaliane kwa kila kitu.

Muhimu tulumbane kwa hoja kistaha na amani. Kila mmoja wetu aheshimu mipaka ya utu.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
AlhamduliLlah, nafata adabu (etiquettes) za kula za Kiislam, hakuna kuvimbiwa ukizifata.

Uislam ni mwema sana, haujaacha kitu katika maisha ya kila siku ya mwanadam.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Udini umetoka wapi hapa, yaani wewe udini ndiyo takataka ulizojaza kichwani.

Chawa wa mama. Uislam nao Ni dini ya watu timamu?. Ukichukia Sana na Ukitaka chomoa Hilo jambia uloficha kwa hijab sijui nikab. [emoji16][emoji16]
 
Malipo mema ni kuwa huru kwenye nafsi na mawazo kuwa unafanya jambo bila chembe ya chuki wala laana ya ubaguzi.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Tatizo Ni huko kujitoa fahamu na hivyo vipengele Tata. Kwanini hamtaki kutamka life span ya huo mkataba halafu nmuweke na renewal terms.

Badala yake mnahangaika na kipengele Cha 22 kinachotoa room ya mazungumzo kwa Jambo lolote.

Ishu Ni maisha ya mkataba.

Dp world wako bandari ya southampton kwa miaka 10,London miaka 20.

Kwanini hatutaki kujifunza kwa hawa waliofanikiwa?

Na ikumbukwe Dubai Ni washindani wetu ktk sekta ya bandari.
 
Wewe hakuna. Kagaba wa juendesha bandari Tanzabia, kama unai t tuwekee.

Tuwekee na mkataba wa ushirikiano baina ya Uingereza na Dubai.

Nyinyi ni wabaguzi tu hakuna zaidi.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Back
Top Bottom